Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli ametoa wito kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kufungua ubalozi wa Israel hapa nchini. Rais Magufuli alisema hayo Alhamisi hii...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una faida zipi? Isije ikawa tunapinga tu jambo lenye faida/manufaa.
7 Reactions
56 Replies
784 Views
Maadam sasa tumeamua kufanya mabadiliko basi ni vema Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ikaletewa watu wapya ili kuondoa manung'uniko. Mutungi ametumika mara kadhaa kupandikiza migogoro kwenye...
15 Reactions
63 Replies
7K Views
Na. Mwandishi Maalum Siasa chafu, za chuki na fitina zimetakiwa kusitishwa Afrika ili bara hilo liweze kupiga hatua za kimaendeleo. Siasa hizo zinazoripotiwa miongoni mwa wanasiasa vijana na...
1 Reactions
1 Replies
140 Views
Hitler Msolla Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Njombe, amesema hayo Mei 12, 2026 wakati wa ziara ya kikazi katika Kata ya Mjimwema, alipokuwa akizungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa...
5 Reactions
54 Replies
639 Views
https://www.youtube.com/watch?v=oRSdtN4PaWI “Mnajua jinsi rais wa sasa alivyoingia madarakani? Aliitwa tu ofisini, na huyu mtu akadhani anafanya makubaliano mazuri, akaikabidhi mamlaka. Pia...
0 Reactions
5 Replies
265 Views
Begi la Louis Vuitton Shopper Tote Bei inakadiriwa kuwa $4,850 (sawa na TSh 12.5 milioni) zatumika kubeba bajeti za Wizara kwenda kusomwa Bungeni , bajeti ambayo inge enea vizuri tu kwenye begi la...
4 Reactions
13 Replies
269 Views
Hii Nchi hakuna kiongozi anayejali Watanzania bali wanajali pochi zao. Madereva wanateswa, wananyanyaswa, na kubaguliwa huko Kongo, lakini Serikali ipo kimya. Mabolozi wana kazi gani? Huo...
1 Reactions
6 Replies
208 Views
Mbunge wa Jimbo la Gairo Ahmed Shabiby amesema kuna mtandao unaokwamisha juhudi za kuanzisha viwanda vya dawa nchini, akidai kuwa baadhi ya viongozi wanahujumu sekta hiyo kwa maslahi binafsi huku...
2 Reactions
35 Replies
746 Views
13/05/2026 Vijana Mkoani Ruvuma katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea wamepata mkopo wa Bajaji bila riba. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed amewakabidhi rasmi kwa niaba...
1 Reactions
2 Replies
116 Views
Kutoka mahaka kuu kanda ya Dar esSalaam kesi ya maombi madogo namba 8960 ya Said Issa Mohammed dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Chadema imepelekwa mbele mpaka Mei 20, mwaka huu. Kesi hiyo iliitwa...
7 Reactions
34 Replies
759 Views
Mwenyekiti wa Wamiliki wa Malori nchini Tanzania TAMSTOA, Chuki Shabani amesema kwamba kuna baadhi ya watendaji wa Serikali wanamdanganya Mhe. Rais. Akijibu swali la mwandishi kuhusu ufanisi wa...
2 Reactions
12 Replies
337 Views
Kwanza mpaka sasa hivi kama alivyosema Mzee Warioba alipigiwa kura na Tume ya uchaguzi ya Jaji Mwambegete sio wanannchi. Mchakato wa katiba mpya upo tayari maana rasimu ya warioba tayayri...
2 Reactions
4 Replies
174 Views
Mnamo mwaka jana 2025 mwanzoni, serikali ilitangaza kuboresha barabara ya Kinondoni kuanzia Wakulima Road (usalama) mpaka Mtaa wa Binti Matola (mtaa opposite na mwembe jini, unaoenda mpaka V Ways)...
1 Reactions
16 Replies
316 Views
Asharose Migiro tumemzoea na nywele zake nyeusi cha kuchana(Mchicha) Tangu akiwa binti. Lakini Mzanzibar alipompa chao cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Asharose Migiro kaanza Kuvalishwa mahijabu. Na siku...
37 Reactions
209 Replies
4K Views
Ni vizuri akakemewa kwa ukali ili aache upotoshaji dhidi ya wazee wetu ambao ni hazina na fahari ya Taifa letu. Tume ya Jaji Chande imeeleza wazi kabisa kwa baadhi ya AZAKI na vyama vya siasa...
1 Reactions
26 Replies
377 Views
Juzi tumemuona Emmanuel Macron akiwa Kenya kwenye summit ya kimataifa. Ukiangalia namna Wakenya walivyotumia hiyo nafasi utaona kabisa wanaelewa mchezo wa diplomasia, branding ya nchi, tourism...
1 Reactions
12 Replies
178 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Africa CDC), Dkt. Jean Kaseya...
1 Reactions
1 Replies
117 Views
Angola wamezeza kujenga oil refinery. Kwa namna hayati aliweza kudhibiti pesa za ndani zikafanya maendeleo makubwa kama kujenga bwa kama JNHEPP asingeshindwa kujenga oil refinery. Sasa hivi kuna...
16 Reactions
120 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema Serikali inaendelea kufuatilia kwa ukaribu na kuhakikisha barabara ya Kitunda inafanyiwa matengenezo kwa haraka Pia soma: KERO - Barabara...
1 Reactions
10 Replies
175 Views
Back
Top Bottom