Vijana Ruvuma wapata mkopo wa bajaji bila riba

Vijana Ruvuma wapata mkopo wa bajaji bila riba

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
913
Reaction score
792
IMG-20260513-WA0104.jpg

13/05/2026 Vijana Mkoani Ruvuma katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea wamepata mkopo wa Bajaji bila riba. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed amewakabidhi rasmi kwa niaba ya Serikali ya awamu ya Sita chini Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
 
View attachment 3588247

kazi na utu tusonge mbele pamoja
 
Serikali sio rafiki kwa mwananchi wa tanzania hata sio la kuficha

Tuzungumzie bajaji za riba hapa tanzania

Kwa mfano bajaji inauzwa milion 9.5 dukani lakini hawa jamaa wa liba unawalipa milion 19 … hii sio fair

Bajaji za milion 8 utalipa milioni 16

Na serikali yetu pendwa ndio imesaini ukandamizaji huu tafadhalini mnatuua wananchi wenu hayo malipo ya riba ni kandamizi sana na mnajua viongozi wote na serikali kiujumla

Tunaomba mkae mezani mpunguze hizo riba tafadhalini wananchi wenu tunaelewa juu ya riba kandamizi kama hizo

Kama hamtobadilisha hamjali kuhusu mwananchi wenu hata kidogo na mwenye akili aone
 
Back
Top Bottom