Friends and Our Enemies,
Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje imetuma ujumbe kwenda kwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani.
Ingawa hajifahamika zaidi undani wa mazungumzo katika ujumbe huo...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameahidi kuiombea Tanzania amani na utulivu, baada ya vurugu za Oktoba 29, mwaka jana, huku akidokeza amewahi kuishi nchini katika mikoa ya...
Tunaandika hukumu, wenye interest nazo wanazisoma, mahakimu wana hekima hawa, acha tu.
Majaji mkiwaona muwaheshimu, halafu wengine wameanzisha tabia ya kuwatukana Majaji, mahakimu na nini, si...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, John Heche amesema hana tatizo binafsi na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Heche ameyasema hayo jijini Mwanza wakati...
Nilifurahi kuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya kuwa Kinara wa Dhana ya Urekebishaji wa Wafungwa Magerezani kutoka kwa...
Hivi ni nani Huwa anapanga vipaombele vya Serikali?
Je haya magorofa ya serikali ambayo sehemu nyingi sana hayatumiki eg NSSF Moshi,Soko la Ndugai Dom,Machinga Complex Huwa yanajengwa Kwa faida...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Esther Maleko amelipongeza Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa hatua ya kujitegemea na kujiendesha bila kutegemea ruzuku ya Serikali kwa asilimia 100...
OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA IDHIBITIWE KABLA HAIJASABABISHA MAAFA KWA MARA YA PILI.
Tumeshauri sana na tunaendelea kushauri Ofisi ya Msajili wa Vyama ndiyo chemichemi ya vurugu za...
Maandamano ya kesho hayatafanikiwa. Hii ni sababu watanzania wengi hawajawa desperate enough kufikia ile hali ya kuwa tayari ku risk maisha yao. Wengi hawajafikia hatua ya kutokuwa na cha kupoteza...
Baada ya kusikiliza hotuba za Goodbles Lema na Boniface Jacob walizozitoa mkoani Arusha kwenye mkutano mmoja wa hadhara hivi karibuni, napata mashaka kama watawala wataweza vumillia spana...
Kwa watanzania wa sasa hakuna watu wawili wanaheshimika kama Mzee Warioba na Lissu kwa uzalendo wao uliopitiliza kwa taifa.
Cha kusikitisha waliopo madarakani hata awamu za nyuma wanafikiria...
Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown FM amesema uchaguzi wa mwaka 2025 ulionekana kuwa ni wa kati ya Jeshi la Polisi na vyama vya upinzani, akidai kuwa vyombo vya...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Ludovick Utouh, amesema mfumo wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) umekuwa ukipingwa kimyakimya na baadhi ya watendaji...
Yawezekana mbeleni wale wanaojificha kuukwepa mkono wa sheria za mabavu ya Serikali iliyoko madarakani ndo baadae wakashika madaraka !
Yawezekana hapo baadae tunaowa abudu madarakani itatokea...
Ripoti ya Tume ya Jaji Chande ilitambua kuwa taasisi za kidini zilicheza jukumu muhimu na chanya wakati na baada ya ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Viongozi wa dini mbalimbali walilaani...
𝗗𝗸𝘁. 𝗠𝘄𝗶𝗴𝘂𝗹𝘂 𝗡𝗰𝗵𝗲𝗺𝗯𝗮: 𝗞𝗶𝗼𝗻𝗴𝗼𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝗞𝗮𝘇𝗶, 𝗞𝗮𝘀𝗶 𝗻𝗮 𝗠𝘇𝗮𝗹𝗲𝗻𝗱𝗼 𝗮𝘀𝗶𝘆𝗲𝗰𝗵𝗼𝗸𝗮
Mussa Saidi-Dar es Salaam
Katika kipindi cha siku chache tu, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.