Wakati Madereva Watanzania wanateseka Kongo, Samia anacheka na Museven

Wakati Madereva Watanzania wanateseka Kongo, Samia anacheka na Museven

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,937
Reaction score
63,701
Hii Nchi hakuna kiongozi anayejali Watanzania bali wanajali pochi zao.

Madereva wanateswa, wananyanyaswa, na kubaguliwa huko Kongo, lakini Serikali ipo kimya. Mabolozi wana kazi gani?

Huo Uchumi utakuaje kama Magari ya Tanzania yamawekwa foleni 24/7? Hayo mapato ya bandari mtapataje? One stop Cente inasaidia nini?

Samia amalize muda wake tupate mtu wa kujali Watanganyika.

Kudadeki zake
 
Hii Nchi hakuna kiongozi anayejali Watanzania bali wanajali pochi zao.

Madereva wanayeswa, wananyanyaswa, na kubaguliwa huko Kongo, lakini Serikali ipo kimya.

View attachment 3588195
Screenshot_20260415-144632~2.png
 
hongera kwa kuwakilisha hisia za madereva wenzako gentleman, na poleni kwa safari lakini hongereni sana kwa kazi bubwa na nzuri mnazozifanya kwenye mazingira magumu na wakati mwingine ya hatari sana.

Hata hivyo,
DRC ni taifa huru ndani ya eneo la maziwa makuu, kama ilivyo Tanzania na nchi nyingine huru, na kwahivyo ni muhimu sana kuzingatia sheria na taratibu za nchi hiyo ili hatimae muweze kutimiza majukumu yenu bila bugudha na kurejea nyumbani salama.

Pamoja na hayo,
bilashaka yoyote,
mamlaka husika za Tanzania zinazohusu masuala ya usafirishaji chini ya serikali sikivu ya CCM zimelichukua jambo hili na kuona namna ya kuwasiliana na mamlaka za DRC ili hatimae changamoto uliyoiibua iweze kupatiawa ufumbuzi wa kudumu na kuepusha kupoteza muda mrefu kwasababu ya ukiritimba katika eneo hilo wakati mwingine.

vinginevyo nachelea kusema pole tena, lakini hongera sana kwa kazi mnazozifanya.
 
Back
Top Bottom