Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ameishukuru Tanzania kwa mchango wake katika maendeleo ya Uganda, huku akisisitiza kutoisahau Tanzania.
0 Reactions
13 Replies
175 Views
Kwa exchange rate ya leo, dola 1 ni takribani TZS 2,605. $5,000 ≈ TZS 13,025,000 (milioni 13 na elfu 25)
4 Reactions
51 Replies
899 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemtembelea na kumjulia hali, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
3 Reactions
5 Replies
231 Views
Kwa waliopata nafasi ya kuyasikiliza mahojiano ya Jaji Joseph Sinde Warioba na mwandishi wa habari nguli, mzee wetu Jenerali Ulimwengu, watakubaliana na mm kuwa hayakuwa mahojiano ya kawaida...
7 Reactions
33 Replies
641 Views
Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown FM amesema Viongozi wa Dini wana haki kama viongozi wengine" Sheikh Ponda Issa Ponda Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania.
0 Reactions
1 Replies
111 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, amewataka Watumishi wa Wizara ya Fedha na wananchi kwa ujumla kuwa makini na taarifa zisizo sahihi kuhusu lishe...
0 Reactions
0 Replies
134 Views
Wakuu hali inazidi kuwa mbaya, kila kitu ni kilio bei juu, Gesi ya kupikia imepanda, mafuta ya kula yamepanda, mafuta yamepanda na sasa na Dangote kapandisha Sementi kisa gharama za usafiri sijui...
4 Reactions
35 Replies
1K Views
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema Serikali inaendelea kusimamia na kuimarisha vyuo vya mafunzo vya kisekta vilivyo chini ya Wizara hiyo ili kuhakikisha sekta ya uchukuzi na...
0 Reactions
0 Replies
83 Views
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari. Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika). Ni...
35 Reactions
308 Replies
27K Views
Uwa siandiki Mara nyingi Kumbukeni wananchi Chama kilijengwa kwa jasho na damu za watu! Na tukapata legitimacy kukemea kila kitu, tukakatishwa tamaa 2015 baada ya ujio wa Lowassa kugombea...
20 Reactions
56 Replies
2K Views
Leo hii Trc wanajinasibu kuwa shirika linajiendesha lenyewe bila kupata ruzuku toka serikalini. Hizi zote ni juhudi za Shujaaa wa Afrika. Alikuwa makini sana kusimamia pesa za umma. Kutandika...
5 Reactions
13 Replies
190 Views
Miongoni mwa viongozi wa CCM enzi za Jiwe, alikuwepo Mwanajeshi mmoja akiitwa Lubinga, kiburi cha madaraka cha huyu jamaa kilipitiliza, japo hakikuvuma sana. Sasa tunauliza tu kwamba huyu jamaa...
9 Reactions
58 Replies
4K Views
Sisi ni wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika mgodi wenye leseni za NICO RAYMOND NYEMELE (PML 1794/1795 GTA) na MHELLA NATHANIEL (PML 1797 GTA) zilizopo katika Mkoa wa Geita, Wilaya ya...
0 Reactions
0 Replies
143 Views
Leo amepatikana mshindi wa Foleni challenge Dae es salaam, Je unahisi nini hasa kilichoandikwa ndai kilichoshawishi wizara nzima ya ujenzi ?
0 Reactions
12 Replies
251 Views
Msajili wa vyama vya siasa, Francis Mutungi ameelekezwa kuifuta Chadema haraka iwezekanavyo, tunayo taarifa kwamba amepokea maagizo hayo mara tu baada ya kukamatwa Tundu Lissu. Cha kushangaza...
28 Reactions
56 Replies
4K Views
Haya ni maneno ya Mzee huyu alipokuwa anahojiwa na. Jenerali Ulimwengu Hivi Kama huyu anaweza kuzuiwa wewe kapuku mbeba pochi unadhani uko salama?
6 Reactions
37 Replies
784 Views
Napata picha Marais makini kama Mwl Nyerere ama Rais Mkapa, kwenye suala kama hili ambalo linawagusa wananchi moja kwa moja, lazima wangetoka mbele na kutupa ufafanuzi wa kina imekuwaje.
9 Reactions
40 Replies
1K Views
Hii ni kwa sababu ya ukiukwaji mkubwa wa Maadili baada ya kubainika kutumia Sheria za mfukoni mwake ili kuikandamiza Chadema Hayo yamebainika kwenye Mahakama ya Rufaa ambako Mahakama hiyo...
4 Reactions
16 Replies
454 Views
Kumekucha.. Tanzania kwa mara ya kwanza kabisa itafungua ubalozi wake Nchini Israel katika Mji wa Tel Aviv. Nchi ya kiafrika ambayo ilikuwa na uhusiano na nchi ya Israel Mwaka 1971 itafungua...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Back
Top Bottom