Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yeah ni member gani Ambaye unafikiri akipewa ikulu sasahivi anaweza kuiongoza nchi kwa kuzingatia msingi ya haki na katiba bila kukengeuka?
10 Reactions
145 Replies
2K Views
Hakuna chama kinachoungwa mkono zaidi ya Chadema kwa sasa.👇
3 Reactions
3 Replies
239 Views
Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amesema badala ya baadhi ya watu kuwahamasisha vijana kujihusisha na shughuli za uzalishaji na ujasiriamali, wamekuwa wakiwahamasisha kutoa fedha walizonazo kwa...
6 Reactions
46 Replies
1K Views
Mkongwe wa tasnia ya habari nchini, Bi. Rose Haji Mwalimu, amesema mfumo wa ithibati ya waandishi wa habari umeleta mabadiliko makubwa kwa kurejesha heshima ya taaluma hiyo na kutofautisha...
1 Reactions
3 Replies
95 Views
Anayejiita she he Mwaipopo anatoa tuhuma nzito kwa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA kamanda John Heche kapewa pesa tasilimu na mfanyabiashara kada wa ccm kiasi cha dola laki 2 kamaTsh 520,000,000 hivi...
1 Reactions
8 Replies
312 Views
Tukio la Lissu kupigwa risasi sio dogo kama wengine wanavyodhani, waliohusika wasifikiri litaisha kama matukio mengine yanavyoisha na kusahaulika, kuwa ni upepo tu utapita, wakae wakijua hili...
96 Reactions
287 Replies
32K Views
Michango ya makada, viongozi na wadau mbalimbali ndiyo itakayogharamia uhai wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), huku chama hicho kikizindua Operesheni "Tujenge Pamoja #Tanzania" Akizungumza...
11 Reactions
33 Replies
693 Views
Kuna watu humu wanasema Heche anatumia mbinu mbali mbali kukwamisha LISSU Asitoke ili kwa kuwa yeye anafaidika kisiasa Njia na nyepesi sana ni kumtoa Lissu mahabusu ili Heche asifaidike tena na...
7 Reactions
8 Replies
201 Views
Hakuna chama kipya kinakuja madarakani pamoja na ofisi zake za serikali, majeshi, polisi, mahakama, barabara, hospitali, mahakama na majaji wake wapya. Watatumia miundombinu hiihii na rasilimali...
-4 Reactions
138 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa kazi kubwa iliyofanywa na Rais Samia Hapa Nchini, kwa maendeleo Makubwa yaliyoletwa na Rais Samia , kwa Heshima aliyoipatia Nchi yetu, Kwa Kazi Kubwa aliyoifanya ya...
7 Reactions
145 Replies
2K Views
Hi I Maana yake ni kwamba YEYOTE atakayeamua kuridhiana n.a. Shetani atakuwa anamkosea Mungu wake na kwa vile atakuwa anavunja kanuni za Mungu mwenyewe basi bila Shaka atakuwa anatenda dhambi ya...
12 Reactions
64 Replies
1K Views
Huyu Jamaa hua nashindwa kuelewa maana naona kama ana kua msemaji wa CCM.. Hivi hadi Michango ya Tone Tone ya CHADEMA anaiongelea yeye kama nani? Au mimi sijui vizur kazi yake ina extend hadi...
6 Reactions
15 Replies
282 Views
Masaa machache Baada ya Kauli yake Michango yapaa kama kishada Hii ndio hali halisi
5 Reactions
10 Replies
315 Views
Ratiba ya Mbio za Mwenge wa Uhuru, Wilaya ya Iramba - Julai 24, 2026 Kaulimbiu: Tanzania ni yetu sote, Tushikamane kwa pamoja kuleta maendeleo.
0 Reactions
1 Replies
95 Views
Hata Uingereza hali yao ya kiuchumi ni mbaya. Waziri Mkuu mpya, Andy Burnham anataka wafunge mkanda ili kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi kuboresha hali zao za maisha. Hii inaonyesha kuwa...
2 Reactions
37 Replies
503 Views
MKUU wa Wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kufanya uchunguzi katika baadhi ya showroom za magari zilizopo wilayani humo ili kubaini iwapo zinatumika kutakatisha...
2 Reactions
11 Replies
536 Views
Sikiliza kwa umakini namna anavyochambua uongo na madudu ya Tume ya Jaji Chande👇
1 Reactions
7 Replies
186 Views
Mbunge wa Jimbo la Iramba Mashariki, Jesca Kishoa, amewataka wananchi kuendelea kuwa wavumilivu kufuatia zuio la mikutano ya hadhara lililotolewa na Serikali, akisema shughuli hizo zitaendelea...
2 Reactions
3 Replies
194 Views
Afrika isiendelee kuwa uwanja wa ushindani wa mataifa makubwa. Tunapaswa kutumia nafasi yetu ya kimkakati, rasilimali tulizonazo na nguvu ya watu wetu kujiletea maendeleo yenye manufaa kwa...
1 Reactions
1 Replies
134 Views
Shauri la Kikatiba namba 7300 la mwaka 2026 linalohusu madai ya kunyimwa faragha kwa Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, limeahirisha hadi Septamba 16, 2026 kwa ajili ya kutajwa...
2 Reactions
6 Replies
309 Views
Back
Top Bottom