Video: Bandari ya Kwala Rais anapewa Taarifa za uongo

Video: Bandari ya Kwala Rais anapewa Taarifa za uongo

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,116
Reaction score
2,481
Mwenyekiti wa Wamiliki wa Malori nchini Tanzania TAMSTOA, Chuki Shabani amesema kwamba kuna baadhi ya watendaji wa Serikali wanamdanganya Mhe. Rais.

Akijibu swali la mwandishi kuhusu ufanisi wa bandari ya Kwala kufanya kazi kama ilivyoahidiwa kuwa itakuwa ni asilimia 100% amesema siyo kweli wanamdanganya Rais Kwala haifanyi kazi kama walivyomuahidi.

Amesema kwamba wiki iliyopita alifanya ziara ya kutembelea Kwala kwenda kuzungumza na baadhi ya wananchi na kuwauliza kwa siku zinaingia contena ngapi wakasema ni 20 tuu pekee.

Aidha katika hatua nyingine amesema miundombinu ya kiutendaji katika eneo hilo haiko tayari kwa kazi ambayo ilitangazwa kuwa ni mchaka mchaka wa asilimia 100% kwani baadhi ya mashine zingine zimekufa hazifanyi kazi.

Hiyo iliyopo ni moja hivyo inazidiwa kitendo ambacho kinapelekea madereva kukaa siku nyingi kusubiria kupakia mizigo katika eneo hilo.

Chanzo: CHAWAMATA TV
 
Walipoendega huko kufanya ufunguzi walizibaziba,kamera za video zilikuwa zinachukua upande mmoja tu
Inshort hyo bandari ya kwala wameihujumu maksudi
Haiwezkani hapo kuna crane moja ya kupakua kontena, tena ni mbovu
Hapo kumejaa majoka na mafisi tu kwenye vichaka

Ova
 
Mwenyekiti wa Wamiliki wa Malori nchini Tanzania TAMSTOA, Chuki Shabani amesema kwamba kuna baadhi ya watendaji wa Serikali wanamdanganya Mhe. Rais.

Akijibu swali la mwandishi kuhusu ufanisi wa bandari ya Kwala kufanya kazi kama ilivyoahidiwa kuwa itakuwa ni asilimia 100% amesema siyo kweli wanamdanganya Rais Kwala haifanyi kazi kama walivyomuahidi.

Amesema kwamba wiki iliyopita alifanya ziara ya kutembelea Kwala kwenda kuzungumza na baadhi ya wananchi na kuwauliza kwa siku zinaingia contena ngapi wakasema ni 20 tuu pekee.

Aidha katika hatua nyingine amesema miundombinu ya kiutendaji katika eneo hilo haiko tayari kwa kazi ambayo ilitangazwa kuwa ni mchaka mchaka wa asilimia 100% kwani baadhi ya mashine zingine zimekufa hazifanyi kazi.

Hiyo iliyopo ni moja hivyo inazidiwa kitendo ambacho kinapelekea madereva kukaa siku nyingi kusubiria kupakia mizigo katika eneo hilo.

Chanzo: CHAWAMATA TV
Hapa Watanganyika tumepigwa?
Screenshot_20260415-144632~2.png
 
Kuna mmoja alisema kwenye media eti alikua anatembea 80kmts kwenda shule alloooo.....🤣
 
Hili taifa kama watanganyika tusipo amka cjui itakuaje. Kwa maana chura aka kizimkazi nguvu kapeleka kwao zenji na sio bara. Kila kitu bara ni takataka tu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Ndiyo maana akina dangote wameona Bora waende Kenya , kama mradi mdogo kama kwala itakuaje kwenye refinery
 
Matycoon wenye bandari kavu Dar wameweza kuiweka serikali mfukoni hivyo bandari kavu ya kwala jairakuja kusikama mpaka serikali inayojitambua itakashika dola.
 
Mzee wa watu hajui tatizo ni nini?

Huyo mama,....mamaaa....mamamaaa. Yeye hamjui?

Ni watu kama hawa ndio wanaozidi kuumiza waTanzania wenzao, kwa kujifanya tu hawajui matatizo asili yake ni wapi....Ni kwa huyo mama anayemlilia yeye!
 
Back
Top Bottom