Kitendo cha Rais Samia kwenda Nairobi Hospital kumjulia hali Tundu Lisu baada ya kushambuliwa ndio kete muhimu ya Ushindi wake 2025

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,961
141,959
Siasa ni Sayansi na Maarifa

Tukumbushane tu ni Wanaccm wawili tu waliojitosa kumjulia hali Tundu Lisu akiwa mahututi Hospital kule Nairobi Kenya

Ni Makamu wa Rais wa wakati ambaye sasa ni Rais wa JMT Mpendwa wetu Dr Samia

Na Rais wa awamu ya 2 mzee Mwinyi

Asiwadanganye mtu Hakuna Upendo mkubwa kama huu, Yesu alisema Wapendeni adui zenu Watendeeni vema wanaowaudhi.

Upinzani siyo Uadui lakini Kwenye issue ya Lisu uligeuka Uadui kwani hakuna Mbunge yoyote wala Kiongozi wa Bunge kutoka CCM waliomtembelea Lisu ukiondoa yule Turki wa Zanzibar aliyemkodia Ndege na Dr Mwigullu PhD aliyeshiriki kumbeba wakati wa kumpandisha Kwenye Ndege

Hivyo Kwenye Uchaguzi mkuu 2025 Wananchi wataweka Itikadi pembeni na kumchagua Mama mlezi Asiyebagua

Jumaa kareem!
 
Ujinga ni mzigo,kwa hiyo tunahitaji Rais kwa vigezo vya kumwona lissu?, lissu mwenyewe hafai kuwa rais,iweje aliyeenda kumwona tu,
Upumbavu wa kiwango cha sgr,
 
Siasa ni Sayansi na Maarifa

Hivyo Kwenye Uchaguzi mkuu 2025 Wananchi wataweka Itikadi pembeni na kumchagua Mama mlezi Asiyebagua

Jumaa kareem!
Naunga mkono hoja, only if 2025 ni yeye ndiye aliyepangiwa na YEYE Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! na kama hii sauti Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke iwapo sauti hiyo
sio sauti ya kwake YEYE bali ni sauti ya yeye tuu!.
P
 
Ujinga ni mzigo,kwa hiyo tunahitaji Rais kwa vigezo vya kumwona lissu?, lissu mwenyewe hafai kuwa rais,iweje aliyeenda kumwona tu,
Upumbavu wa kiwango cha sgr,
Sasa kama Jiwe alikiwa Rais sembuse Mh. Lissu? Hata wewe na hizo akili zako unaweza kuwa Rais na watu wakabaki midomo wazi
 
Ujinga ni mzigo,kwa hiyo tunahitaji Rais kwa vigezo vya kumwona lissu?, lissu mwenyewe hafai kuwa rais,iweje aliyeenda kumwona tu,
Upumbavu wa kiwango cha sgr,
Hivi unafahamu, yawezekana kwenye jukwa hili lote la JF, mpumbavu kuzidi wote, ukawa ni wewe pekee yako.

Mtoa mada kikubwa alichoonesha ni upendo, kama sifa mojawapo muhimu kwa kiongozi. Mtu katili, muuaji, hafai kuwa kiongozi. Fikiria unalipa mamlaka ya amiri jeshi mkuu jitu katili, na vyombo vyote vya dola vipo chini yake, unategemea nini?
 
Lisu hawezi kuwa rais hapa tz labda ataongoza familia yako tu
 
Back
Top Bottom