CCM na serikali mje haraka kumkana Mollel, kauli yake inawatega nyinyi.

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
10,115
35,128
Mbunge wa CCM wa jimbo la Siha, Mollel ametoa kauli bungeni ya kusema anao ushahidi wote wa CHADEMA kuhusika na tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu lakini hataweza kuutoa mpaka CHADEMA watoe uthibitisho wa matumizi ya ruzuku zao!!

Ni kauli ya mizaha na yenye mwelekeo wa kipuuzi kwa watu wengi wanaofuatilia mwelekeo wa tukio lile lilipotokea. Haina mantiki yoyote ya kutaka kutambua wahusika wa tukio lile, lakini inaweza kuwa na mantiki hasi kwa rejea ya mijadala katika kupambana kwa hoja kuhusu tukio lile, hususani kutumiwa na Tundu Lissu mwenyewe ambaye ameonekaa ni hodari katika mijadala kwa kuweza kutumia rejea ya maneno, hotuba au kauli mbalimbali za wale wale wapinzani wake.

Kwa kuwa kauli hii imetolewa na mbunge wa CCM tena ndani ya bunge, moja kwa moja inaweza kuchukuliwa kama ndio mwelekeo wa CCM na serikali yake kwa sasa.

Tukumbuke tu, mpaka sasa CCM, serikali na Vyombo vya dola vinakiri kuwa haiwajui wahusika wa tukio lile na hakuna taarifa nyingine yeyote yenye kuonyesha kama kuna uchunguzi au kesi kufunguliwa kuhusu tukio lile.

Kauli hii inafuta hoja zote za CCM, Serikali na vyombo vyote vya dola ya kusema bado haiwajui wahusika wakati huo huo kuna mtu anasema anawajua wahusika na serikali haijamtafuta mtu huyo ili kuutumia uahahidi wake ili kuwatia hatiani wahusika.

Upande mwingine kauli hii inatoa picha kuwa, serikali haina mpango wa kuwatafuta wahusika, maana kauli za kipuuzi za za watu kama Mollel na Msiba zimeachwa hivyo hivyo, hivyo zimechukuliwa kama msimamo wa CCM na serikali yake.
 
amekua CAG?yaani ccm ijue na iwe na uhakika kuwa kitendo kimefanywa na chedema alafu serikali hii ikae kimya,hiyo si ndio ingekua nafasi ya serikali kuimaliza chadema( kama ambavyo inataka) kupitia uthibitisho huo wa molel mahakamani then kwa msajili wa vyama
 
Mbunge wa CCM wa jimbo la Siha, Mollel ametoa kauli bungeni ya kusema anao ushahidi wote wa CHADEMA kuhusika na tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu lakini hataweza kuutoa mpaka CHADEMA watoe uthibitisho wa matumizi ya ruzuku zao!!

Ni kauli ya mizaha na yenye mwelekeo wa kipuuzi kwa watu wengi wanaofuatilia mwelekeo wa tukio lile lilipotokea. Haina mantiki yoyote ya kutaka kutambua wahusika wa tukio lile, lakini inaweza kuwa na mantiki hasi kwa rejea ya mijadala katika kupambana kwa hoja kuhusu tukio lile, hususani kutumiwa na Tundu Lissu mwenyewe ambaye ameonekaa ni hodari katika mijadala kwa kuweza kutumia rejea ya maneno, hotuba au kauli mbalimbali za wale wale wapinzani wake.

Kwa kuwa kauli hii imetolewa na mbunge wa CCM tena ndani ya bunge, moja kwa moja inaweza kuchukuliwa kama ndio mwelekeo wa CCM na serikali yake kwa sasa.

Tukumbuke tu, mpaka sasa CCM, serikali na Vyombo vya dola vinakiri kuwa haiwajui wahusika wa tukio lile na hakuna taarifa nyingine yeyote yenye kuonyesha kama kuna uchunguzi au kesi kufunguliwa kuhusu tukio lile.

Kauli hii inafuta hoja zote za CCM, Serikali na vyombo vyote vya dola ya kusema bado haiwajui wahusika wakati huo huo kuna mtu anasema anawajua wahusika na serikali haijamtafuta mtu huyo ili kuutumia uahahidi wake ili kuwatia hatiani wahusika.

Upande mwingine kauli hii inatoa picha kuwa, serikali haina mpango wa kuwatafuta wahusika, maana kauli za kipuuzi za za watu kama Mollel na Msiba zimeachwa hivyo hivyo, hivyo zimechukuliwa kama msimamo wa CCM na serikali yake.
Watu wenye vipara mbona hawana utu wala shukuru!!!Mtu na kipara chako mzaha kwenye maumivu makali aliyopata mwenzio
 
Huyo Jamaa ni Dr wa nn,MBONA uwezo wake wa kufikiri ni Mdogo sana,hivi kipi wakitakacho wazungu wakakikosa soko tu tunategemea kuuza kwao,hizo raslimali hawana haja ya kuzifata MBONA ni sisi ndio huwa tunawapelekea huko.
 
Kauli hii inafuta hoja zote za CCM, Serikali na vyombo vyote vya dola ya kusema bado haiwajui wahusika wakati huo huo kuna mtu anasema anawajua wahusika na serikali haijamtafuta mtu huyo ili kuutumia uahahidi wake ili kuwatia hatiani wahusika.

Upande mwingine kauli hii inatoa picha kuwa, serikali haina mpango wa kuwatafuta wahusika, maana kauli za kipuuzi za za watu kama Mollel na Msiba zimeachwa hivyo hivyo, hivyo zimechukuliwa kama msimamo wa CCM na serikali yake.
Pia inawabana ccm kujitetea kwa vyovyote vile kwamba hawahusiki. Katika uchunguzi huwa tunaokota hata kichungi cha sigara tunachokikuta eneo la tukio ili tuje kukichunguza kuwa Je mtuhumiwa anavutaga sigara?? Kama havuti basi tunajua sio yeye aliyetenda. Sasa Mollel unasema unao ushahidi. Umekaa nao mwaka mzima, leo unaropoka tu, halafu unapeta tu barabarani scotch free. Wala hakuna kiumbe anakuuliza neno lolote. Huku Polisi wanasema bila mtendwa kuja kufungulia kesi tena pale pale dodoma hawatachunguza habari iliyokwisha kaa mwaka mzima. Kweli, mnajua kuvitukana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
Najiuliza maswali:
Hivi kuuficha ushahidi bila kuisaidia polisi sio kosa?? Kuuficha ushahidi ni baada ya siku ngapi?? Miaka 10 labda??
Hivi, ccm mnajisikiaje mnapoionesha hii serekali ka misukule isioweza hata kunusanusa jambo lolote? Mollel unatamba hivi bila hata mtu kukuomba msaada tu umuoneshe aweze kuuonesha ulimwengu kuwa tumemkamata mtuhumiwa??
Fikirini vyema kwani matendo yenu haya, ni kuiaibisha serekali wala sio kumuumbua Lissu.
 
Hivi mbunge anakuwa na kinga akiongea ndani ya bunge Eh?

Huyu kanishangaza Sana, ati aliingia crime scene akachukua baadhi ya ushahidi na ameuhifadhi nyumbani/abakojua! Hili jambo linashangaza Sana kutamkwa wazi wazi na kuachwa tu hivi hivi.

Ali temper uchunguzi kwa kuingia CS...sasa ni ili iweje Au Lengo na mpango ulivyokuwa angetakiwa aitwe sehemu husika akaeleze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mbunge anakinga akiwa bungeni lakini alisema kuwa anavyo vielelezo muhimu kavificha nyumbani kwake. Swali ni kuwa; Je ni halali kukaa na ushahidi moyoni mwako mwaka mzima bila kuwaambia polisi?
Je, sasa anautoa ili iweje? Je, Lissu angelikufa ushahidi angeupeleka wapi?
Je, polisi wanafanya nini baada ya kuambiwa upo ushahidi wazi?
Maswali ni mengi ila najua moja tu; CCM hawajui na hawawezi kutunga uongo ukathibitika. Wataumbuka tu hata kama ni baada ya kumnyonga mtu
 
Back
Top Bottom