Umeme kusambazwa hadi kwenye vitongoji

Nyabukika

JF-Expert Member
Jun 15, 2022
1,402
942
Serikali ya Rais Samia Suluhu inaendelea kuhakikisha umeme unafika katika kila kitongoji lengo ikiwani ni kuibua fursa zitokanazo na umeme, Rais Samia Suluhu alisema "Nishati ya uhakika ni uhuru" akimanisha kuwa kukiwa na nishati ya uhakika wananchi wanakua na uhuru wa kufanya shughuri zao za kiuchumi kwa uhuru kwa kutambua hilo.

Rais Samia Suluhu anatekeleza miradi 3 ya umeme vijijini, miradi hiyo itafikisha umeme katika.

Vitongoji 1,522 itanufaisha wananchi zaidi ya elfu 88 nishati hii ya uhakika itawasaidia wanakijiji hawa kufanya shughuri za kiuchumi.

Maeneo ya Migodi na kilimo miradii 336 itasaidia kupunguza gharama kwa wachimbaji wadogo na wakulima pia itakuza sekta ya madini na kilimo.

Umeme utafika katika vituo 63 vya afya itasaidia kuboresha utoaji huduma kwa wananchi.

Sehemu nyingine itakayonufaika na miradi hii ni kutengenza pampu za maji 333 hii itasaidia kukabiliana na magonjwa ya mlipuko kwa maeneo ya vijijini.

Miradi hii yote itakamilika kwa gharama ya Shilingi Bilioni 385 awamu ya sita iko kazini kuhakikisha inafikisha umeme na kuibua fursa vijijini.
 
Naona February anazidi kupigiwa chepuo ili apewe ile Trillion 11 kwa kisingizio cha kuifumua Tanecso
 
MIAKA YOTE 60 YA UHURU IMESHINDIKANA IWE LEO?????


FICHA UJINGA.
Huu ni uongozi wa Rais Smaia Suluhu ndani ya miaka 2 tu amefanikiwa kupeleka umeme kwenye vijiji vingi sana kwaiyo sasa anapeleka umeme kwenye vitongozi kazi iliyotakiwa ifanywe ndani ya miaka 10 yeye amefanya ndani ya miaka 2
 
Back
Top Bottom