Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wajumbe wa sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Cde Gavu, Cde Mjema na Kenan watafanya ziara mkoani Tanga ya kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na kuimarisha uhai wa chama hicho...
0 Reactions
2 Replies
540 Views
Lissu ni mwanasiasa anaye shine/anayeng'aa pale panapokuwa na Siasa za mapambano, Siasa hizo zilikuwepo enzi ya jiwe, yule Mzee wa Chato. Kwa Sasa ni SSH, hana Siasa hizo za piga nikupige. Ndio...
18 Reactions
52 Replies
3K Views
Juzi bwana Mwigulu, aka rais wa mawe, aliomba mwongozo kwa Naibu spika kwa kusema hajawahi kusema wabunge wajadili uganga wa kienyeji, na uchumi aachiwe yeye kwa maana ni profession yake. Leo Mh...
21 Reactions
63 Replies
6K Views
Kuna mwana JamiiForums amesikia habari ya serikali kuzuia mchele kuuzwa nje au wote tumesikia kuruhusu uletwe kutoka nje tu. Serikali haujazuia mchele kuuzwa nje mpaka sasa hivi inamaa kubwa kuwa...
1 Reactions
4 Replies
584 Views
Alhamisi jimboni Chalinze. Nimegawa pikipiki kwa watendaji wa kata 6 za Halmashauri yetu ya Chalinze, kutembelea kiwanda cha Uzalishaji wa marumaru cha Keda, na kupokea vifaa tiba kwa ajili ya...
0 Reactions
1 Replies
639 Views
Wakati Tundu Lissu Anasema Ripoti Ya Madini Ya Prof Osoro Ni PROFESSORIAL RUBBISH Mlimtukana, Mkambeza Na Kumpiga Risasi Sasa Nendeni Mkasome Makubaliano Kati Ya Barrick Na Serikali Yenu Ni...
49 Reactions
76 Replies
11K Views
MBUNGE MHE. NANCY NYALUSI AMETOA SHILINGI MILIONI 10 KUSAIDIA UJENZI WA WODI YA WANAWAKE ILALA SIMBA. MBUNGE wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Iringa Mhe. Nancy Nyalusi ametoa Shilingi Milioni 10 kwa...
0 Reactions
4 Replies
809 Views
Habari wanajamvi. Moja kwa Moja kwenye mada,Rais wa shirikisho la Wanafunzi wa Elimu ya Juu Nchini akihojiwa na Clouds ameishukuru Serikali ya awamu ya 6 chini ya mh.Rais Dk.Samia Kwa kuongeza...
5 Reactions
42 Replies
4K Views
Mchele kutoka nje. Je tumejiridhisha kwamba uliopo nchini hautoshi? Je uzalishaji wetu wa mchele ni kiasi gani, mahitaji kiasi gani na upungufu kiasi gani Hizo tani elf 90 za mchele zitaingizwa...
7 Reactions
188 Replies
12K Views
SERIKALI imetangaza kushusha bei za baadhi ya vyakula na vifaa vya ujenzi nchini, lengo likiwa kupunguza makali ya maisha kwa Watanzania. Katika hatua hizo, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, pia...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kweli chama hiki kimekosa ushawishi na mbinu za kukubalika hadi wameamua kujichomeka katika maandamano ya hamasa za wana Yanga huko Mbagala Zakheem na mabango yao. Wale wako kwenye raha zao za...
8 Reactions
41 Replies
3K Views
Nyie wakulima msipoungana na kuwa na chama Chenye maamuzi ya veto Mtanyanyasika Sana na Wanaoshinda Twitter kusema maisha magumu. Na Serikali ya CCM isiyojielewa ndio inawasikiliza hao na...
6 Reactions
77 Replies
3K Views
Ni pendekezo tu lakini kuna hoja jadilifi ndani yake. Katiba ya sasa inasema, "Rais ataongoza Kwa miaka mitano tu (5). Lakini kama chama chake kitaamua kumpendekeza Kwa mara ya pili basi ataongoza...
0 Reactions
8 Replies
730 Views
Naomba wale wataalam na Madaktari wa magonjwa ya akili waje watusaidie , na hakuna haja ya watu wasio wa fani husika kuingilia. Kwa kipindi cha miezi ya hivi karibuni , aliyekuwa Msemaji wa Yanga...
21 Reactions
62 Replies
11K Views
TATHMINI YA VIJANA WA UVCCM WALIOAMINIWA AWAMU YA TANO PAUL MAKONDA Huyu ni RC wa Dar ni zao la UVCCM. Amewahi kuwa Waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi Chuo cha Muccobs,Akawa Mwenyekiti wa...
3 Reactions
52 Replies
7K Views
Mheshimiwa Rais. Nakuandikia waraka maalum juu ya hali ya mfanyakazi, hususan anayestaafu. Nataka nikueleze kuwa, hiki kikotowo ulichokiweka hakina masilahi kwa mfanyakazi anayestaafu. Kiufupi...
24 Reactions
55 Replies
4K Views
Ndugu zangu watanzania, Rais Samia Ambaye ndiye kiongozi mwenye ushawishi zaidi Barani Afrika na ambaye anatazamwa Kama mtetezi wa Bara la Afrika na ambaye wengi wanamwita Sauti ya Afrika na...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Kabla haijafika mwisho wa probation 18/02/2022 Halmashauri ya Masasi imewasimamisha kazi wakuu wa idara watano na aliyekuwa DED ambaye sasa amehamishiwa Tarime jina lake limepelekwa kwa mamlaka...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mbunge wa Ikungi Singida Mashariki mh Mtaturu amesema atakula sahani moja na majambazi wa Halmashauri waliokwiba Mifuko 198 ya cement Mtaturu amesema baada ya yeye kumshukuru Rais Samia kwa...
0 Reactions
11 Replies
811 Views
Ndugu zangu watanzania, Uchaguzi ujao Ni uchaguzi ambao CCM inakwenda ikiwa na ushindi mkononi, uchaguzi ambao CCM inakwenda ikiwa na Matokeo ya ushindi wa kishindo, Hii Ni kutokana na kazi kubwa...
1 Reactions
85 Replies
3K Views
Back
Top Bottom