chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,006
- 20,683
Kwa kuwa ni dhahiri kwamba Lissu hawezi kukaa Tanzania kwa zaidi ya mwezi, endapo CHADEMA itathubutu kumpa uenyekiti wa chama, itabidi baadhi ya idara na watumishi wapate uhamisho wa kuhamia Ubelgiji, vinginevyo baadhi ya shughuli zitakwama, na itabidi maafisa na myaraka ziwe zinaoanda ndege mara kwa mara, hivyo kuongeza gharama .
Ni vyema Mbowe abaki kuwa Mwenyekiti kwa kuwa kaonyesha si mwoga, na anajisimamia.
N.B: Sijaongelea akiwa Rais, itakuwa hatari zaidi
Ni vyema Mbowe abaki kuwa Mwenyekiti kwa kuwa kaonyesha si mwoga, na anajisimamia.
N.B: Sijaongelea akiwa Rais, itakuwa hatari zaidi