Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

nlikuwa naongea na watu flani katika kitengo flani cha serikalini.nchi hii watu wameiba. Watu wameiba sana.wameiba pesa nyingi sana katika awamu ya Nne. Wanasema ile ilikuwa ni awamu ya chukua...
44 Reactions
201 Replies
15K Views
Mjumbe wa kamati Kuu ya CHADEMA mh Godbless Lema ametua nchini na moja kwa moja ameendelea na Majukumu ya kikazi Jambo la kwanza Lema amezindua tawi la CHADEMA njia panda ya KIA Mungu ni mwema...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Ilikuwa baada ya Nyerere kujiuzulu na kumwachia Mwinyi kijiti, watu walishangilia sanaa na kumpongeza mwinyi kwa sera zakee za Ruksaa, Lakini leo sio Mwinyi bali kila References anatumiwa Baba wa...
11 Reactions
69 Replies
7K Views
Sihitaji kutaja orodha ya watumiwaji. Orodha ni ndefu na inajulikana. Ajabu watu hawa wamekubali kutumika kwa mambo mabaya na ya hatari kana kwamba Magufuli ni Mungu atawalinda maisha yao yote...
28 Reactions
54 Replies
6K Views
Wana JF salaam Natumai shangwe, nderemo, vifijo, msisimko na furaha ya kumuona Dr Jakaya Kikwete katika ukumbi maalumu wa wageni viongozi waalikwa pale bungeni zilizotokea,wabunge walishindwa...
3 Reactions
95 Replies
8K Views
Enzi za JK -Hakuwahi kupiga ufisadi wa trilioni 2.4 hata kama ungeunganisha EPA, ESCROW na RICHMOND -Hakuna mfanyabiashara aliyehamisha biashara kama hivi sasa. -Watumishi wa umma waliongezewa...
11 Reactions
78 Replies
9K Views
Gazeti la The Standard la Kenya linaripoti kuwa Lema na familia yake wamekamatwa eneo la Kajiado wakivuka mpaka wa Namanga kwa tax kutorokea Kenya kwa hofu ya kuuawa. Zaidi.... Aliyekuwa mbunge...
26 Reactions
501 Replies
42K Views
Tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani upepo wa kisiasa nchini umebadilika sana . Tumeona Mikutano ya kisiasa ikirejea nchini, siasa za vyama vya upinzani majukwaani zimerudi tena na mazungumzo...
3 Reactions
8 Replies
839 Views
Habari za Leo mdau. Rostam Aziz mfanyabiashara mashuhuri Tanzania amesema ni ghali zaidi kuagiza bidhaa baina ya Nchi za Afrika ambazo ziko jirani kuliko Kuagiza bidhaa hizo hizo Ulaya,Asia au...
10 Reactions
67 Replies
5K Views
Narudia huu uzi kuuandika maana chadema mna misimamo ambayo najua baadae mtajuta mtafuta vipi hii kauli maana mtashikwa na Tamaa yakuingia tuu bungeni kwakua mnajua fika mwaka 2025 mtachukua Viti...
0 Reactions
1 Replies
324 Views
Mpaka sasa Mama amekopa Matrilioni mangapi ndugu zangu..!? Lakini Matrilioni hayo ni kwa ajili ya nani!?? Yanaenda wapi hayo matrilioni!?? Mbona umasikini unazidi kutamalaki wazee. Lakini mpaka...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Amani Tanzania Shekhe Alhad Mussa Salumu amefanya mkutano na Waandishi wa Habari leo hii mida ya saa tano na kutangaza ya kwamba siku ya Ijumaa tarehe 3 kutakuwa na...
1 Reactions
6 Replies
654 Views
Sugu na Mama ni marafiki bila kujali siasa. Hakuna kitu wala mtu yeyote anaweza kubadilisha hilo maana ndiyo ubinadamu kuna wakati watu wanakuwa marafiki bila kujali siasa. Uhusiano wa Dkt. Tulia...
25 Reactions
66 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema miaka saba iliyopita ilikuwa ya bonde la maumivu makali kwa wananchi wote. Alitaja maumivu hayo akihusisha wale waliofungwa magerezani na watumishi...
0 Reactions
11 Replies
731 Views
Nimewaza sana hivi sisi watanzania ni wajinga kiasi hiki ,Tunakatwa kodi na Tozo ,tunaishi maisha magumu ili kulisha Wanasiasa ? Ni takribani miaka 2 sasa tangu wabunge wa CHADEMA wanao daiwa...
4 Reactions
47 Replies
3K Views
Jana Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi ameongea jambo zito sana kuhusu ACT Wazalendo, kwamba ni wapigaji tu walioifilisi Bandari. Nategemea Godbless Lema atafafanua namna alivyopata Ukimbizi...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Mwanaccm halisi ni mtu jasiri anayesimamia haki na usawa huku akihakikisha katiba, kanuni, miongozo na taratibu za CCM zote zinalindwa. Ukiona Mwanaccm akienda kinyume na haya, fahamu upo...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Ndugu wana jamaii forum kwanza niwasalimu, mimi napata shida mahali , hivi ni kweli hii nchi ina watu wachache wenye haiba ya uongozi kiasi kwamba mamlaka inafanya "leaders recycling " Kuna haja...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Mshindi wa kwanza wa Kura za Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Ndg. Leonard Mahenda Qwihaya aliyepata kura 845 ni nani hasa kwenye Chama cha Mapinduzi? Mwenye historia yake atusaidie...
2 Reactions
42 Replies
9K Views
Kuna tetesi nimesikia wizara ya maji inataka kusaini mikataba na makampuni ya consultants kwa ajili ya usanifu wa miradi ya maji na usimamizi wake. Je inakuaje serikali itumie hizi kampuni wakati...
3 Reactions
68 Replies
4K Views
Back
Top Bottom