Godbless Lema anapenda kujipa ukubwa au umuhimu ambao hana. Lissu ilikuwa auawe ni kweli na sababu ni pale alipoanza kutoa siri za ndani kwa wageni. Halikuwa jambo sahihi hata hivyo. So siungi...
UVCCM TAIFA
2 MACHI, 2023
SINGIDA
KATIBU MKUU UVCCM TAIFA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WANAFUNZI
Picha na matukio mbalimbali ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndg...
Kiukweli inasikitisha sana viongozi wa Chadema waliokuwa wanasubiriwa kwa hamu kubwa na wananchi wanakuja na sera za ajabu hili ni anguko kubwa na kwa sera hizi Chadema wajiandae kugombea ubunge...
Habari wana JF ,nimewaza sana kuhusu uthubutu wa kugombea kuwa Rais wa Nchi ,nimegundua cha kwanza lazima uwe na sifa .
Nikajiuliza hivi Ukachana na Skafu anayopenda kuvaa Mwigulu Nchemba ya...
Riziwani Kikwete ule mkutano uloanzisha kule Bagamoyo na ukasema rais hawezi kutoka kaskazini Maneno hayo yatakutokea puani unajua Kikwete akitoka madarakani wapambe wako wote hutawaona tena...
Kila mahali katika miji ya nchi kwa sasa hivi kumejaa vibanda vya wamchinga, bodaboda na mama ntilie almaarufu 'wananchi wanyonge'. Ipo siku serikali itawataka waondoke na itakuwa vurugu kubwa...
Wakili Mwanaharakati Prof. Wajackoya amesema ametumwa na Mzee Raila Odinga kuwaomba msamaha Chadema.
Mtakumbuka Raila Odinga alikuwa rafiki mkubwa wa Chadema, lakini urafiki huo uliingia mushkel...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM Taifa (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi kuanzia leo Alhamisi na kesho Ijumaa Machi 02-03/03/2023 atakuwa mkoani Singida na kufanya matukio matatu:-
✅...
Asalaam Aleykum wapendwa wana jamvi. Ama baada ya salamu hizo napenda kuishukia mada tajwa hapo juu kama ifuatavyo;
Nimefanya utafiti kulingana na kiwango changu cha elimu nilichonacho...
Akizungumza jijini Arusha wakati akifungua Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri na Makatibu Wakuu uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC) jijini Arusha Rais wa Jamhuri...
Tumeyasikia Ugiriki:
Waziri mhusika wa usafirishaji wa serikali ya huko amejiuzulu. Ma stesheni master wamekamatwa.
Nini kiwafanye wenye dhamana kwetu kuwajibika?
Ndiyo maana watu watatekwa...
Kwenda kwa Rais Arusha leo ni asset au liability kwenye uwanja wa siasa? Kama ni liability washauri wake walishindwa kuona madhara haya? Kama ni asset, kivipi?
Kwa ukubwa wa msafara wa Lema...
Kwa sisi wazee, Tangu utoto wangu sijawahi sikia mtu sehemu yeyote ya Tanzania iwe shule, ofisini au mitaani akiniuliza wewe dini gani? au wewe Kabila gani?. Mambo haya ya ujinga yanaonekana sasa...
Balozi Ali Mwadini amekutana na Mhe. Omar Talal Hariri, Rais wa Mamlaka ya Bandari ya Saudi Arabia kujadili mkakati wa kuimarisha ushirikiano kwenye huduma za bandari na kurahisisha usafirishaji...
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Zamani wa Tanzania, Charles Kitwanga amesema “Tunachukua kivuko chetu, sijali kama ilinunuliwa kwa Bilioni 8 na inaendwa kutengenezwa kwa bilioni 7.5, tunashindwaje...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema miaka saba iliyopita ilikuwa ya bonde la maumivu makali kwa wananchi wote.
Alitaja maumivu hayo akihusisha wale waliofungwa magerezani na watumishi...
Tumeishi miaka hii ambayo mengi yanayotokea mbele ya macho yetu yanatoa fundisho kubwa sana kwetu na vizazi vijavyo.
Nimesikia na hata nimeshiriki kampeni za kutaka tuwe na TUME HURU ya Uchaguzi...
Hawa Ewura naona wanamkakati wananchi tutembee kwa miguu katika shughuli zetu za kila siku.
Pamoja na gharama za maisha kuwa juu bado bei ya mafuta imepanda kwa Tshs. 149 kwa lita.
Mafuta ni...
Hii nchi Chama ndio tunasema Dola, lakini katika jambo la kustaajabisha ni pale ambapo CCM imeamua kufanya ubabe na kujimilikisha sehemu ya Barabara yaani mtaa na kufanya ni njia ya kuingia katika...
Sisi WanaCCM tumezoea kusombwa na malori kwenda kupokea viongozi wa kitaifa wanapokuja kufanya ziara za kichama hata kiserikali.
Baada ya uminywaji wa demokrasia kwa miaka zaidi ya 8, hatimaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.