benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,504
- 3,034
Tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani upepo wa kisiasa nchini umebadilika sana . Tumeona Mikutano ya kisiasa ikirejea nchini, siasa za vyama vya upinzani majukwaani zimerudi tena na mazungumzo ya kuimarisha Demokrasia yanazidi kushika kasi.
Kubwa zaidi tangu Rais Samia ashike madaraka tumeona Tundu Antipas Lissu akirejea nchini na leo aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema amerejea nchini na katika matukio yote haya Jeshi la Polisi limeimarisha ulinzi na usalama kwa hali ya juu kabisa.
Tanzania kama Taifa la Kidemokrasia tuna kila sababu ya kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa kututoa gizani na kuweza kushuhudia tena Demokrasia ikitamalaki katika nyanja zote.