Godbless Lema atua nchini, afungua Ofisi ya CHADEMA Tawi la njia panda ya KIA!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Mjumbe wa kamati Kuu ya CHADEMA mh Godbless Lema ametua nchini na moja kwa moja ameendelea na Majukumu ya kikazi

Jambo la kwanza Lema amezindua tawi la CHADEMA njia panda ya KIA

Mungu ni mwema Wakati Wote!
 
Hana issue hakuna alichokifanya Arusha,kwa kipindi cha miaka kumi ya ubunge.Wajinga na wapumbavu ndio wanaomshabikia
 
Inaonekana mmemmiss sana jembe kutwa kumtaja taja. One man show mnayo karne na karne mwenyekiti ni yule yule gaidi mlamba asali
... chadema sio one-man-show. Kuna mmoja alihodhi tv ya umma hadi akila mahindi barabarani anaoneshwa yeye! Mungu apishe mbali enzi zile za giza zisirudi tena.
 
Inaonekana mmemmiss sana jembe kutwa kumtaja taja. One man show mnayo karne na karne mwenyekiti ni yule yule gaidi mlamba asali
... gaidi? Anaendesha mikutano nchi nzima openly? Njooni na episode nyingine.
 
Back
Top Bottom