Mhe. Balozi Ali Mwadini amekutana na Bw. Abdulrahman Alabdulwahab, Meneja Mkuu wa Masoko, Kanda ya Kati wa Shirika la Ndege la Saudi Arabia kujadili maandalizi ya Uzinduzi wa safari za ndege za...
Hatuongei mengi,
Hii ni kwa wenye bundle ambazo sio za mawazo!
=
Ni mmoja tu aliyewajua watanzania nao wakamjua!!!!n mwezi wa kwaresma pia n mwezi wa majonzi makubwa!
Dar es Salaam
Jimbo la Kawe
- Askofu Josephat Gwajima
Jimbo la Temeke
- Doris Kilave
Tanga
Jimbo la Muheza
- Hamis Mwinjuma (Mwana FA)
Mbeya
Jimbo la Tunduma
- David Silinde
Manyara
Jimbo...
Ishu ya kufanya mikutano sio kazi ndogo ni ishu kubwa hasa inahitaji pesa sio tu pesa pesa haswa kutoka huku na huko zikusanywe ziwe mingi mfanye jambo.
Kuna vyama hata ile mikutano ya kusimama...
Kwa Mujibu wa Ratiba ambayo imetolewa na Chadema Kanda ya Nyasa , leo 28/02/2023 ni zamu ya Iringa Mjini, na ndio siku ambayo inaenda kuhitimisha awamu ya kwanza ya Mikutano hiyo kwenye Kanda...
Dr Slaa leo tar 13 Dec 2022 akiwa ktk Mtandao wa Club house kwenye mjadala unaoendelea kuhusu mahitaji na Katiba Mpya, na Demokrasia nchini.
Dr Slaa anasema wanaisemea sana CHADEMA kwa kuwa ndio...
Moja ya sifa ya Kiongozi bora ni kuibua viongozi wengine na kupelekea kutimiza ndoto zao na hii imekua moja ya sifa kubwa na zakipekee za Rais Samia Suluhu Hassan.
Kwenye teuzi za hivi karibuni...
CHADEMA wamekuwa wakiitolea mfano Tume ya Chebukati (IEBC) kama mfano wa Tume Huru ya Uchaguzi bora kabisa barani Africa.
Chebukati na baadhi ya makamisha muda wao umekwisha hivyo Rais Ruto...
Na Romana Mallya
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema mtu ambaye hatakiwi kufanyiwa masihara wala mzaha katika kulinda rasilimali za nchi hii ni Rais Samia Suluhu Hassan,Wale wanaomchukulia ‘poa’...
Taarifa kutoka Kanda ya Nyasa inaonyesha kwamba kutafanyika Mikutano mikubwa ya hadhara 6 Mfululizo katika Maeneo yafuatayo :
23 FEB Sumbawanga Mjini
24 FEB Tunduma
25 FEB Mbeya Mjini
26 FEB...
Namshauri Mwinyi awatumie mawaziri wa kisekta kuwajibu ACT, yeye awe mtu wa mwisho in case wana-fail.
Kama ikashindikana, atumie chama, kwa kuwa wanaompa changamoto, wanampa kwa kofia ya Siasa...
Kweli Serikali hii ni sikivu.
Hii ni mara ya 2 inatekeleza ushauri wangu.
Mwanzoni mwa mwaka huu 2023 katika ushauri wangu wa pili kutekelezwa na Serikali, niliishauri (na kum-tag Elon Musk)...
Ndugu zangu watanzania,
Rais Samia Ambaye ndiye kiongozi mwenye ushawishi zaidi Barani Afrika na ambaye anachukuliwa na kuangaliwa Kama mtetezi wa Afrika na sauti ya Afrika ameleta Taswira mpya...
Ndugu zangu watanzania,
Utendaji kazi uliotukuka wa serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia Ambaye ndiye kiongozi mwenye ushawishi zaidi Barani Afrika kwa Sasa na...
Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya
Kauli na matendo ya Dr Tulia Ackson inaonekana hana amani kabisa na Uchaguzi ujao 2025.
Kauli na matendo yake yanaashiria kuvutia watendaji wa serikali wampe sapoti aweze kurudi bungeni.
Hata...
Waswahili wanasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni kiukweli Rais Samia Suluhu amefanikiwa kuifungua nchi sasa Tanzania kuna amani ya kutosha ukilinganisha na miaka 5 iliyopita polisi...
Nawaasa wachaga wenzangu, Lema sio mtu ambaye ana roho za upendo kwa wana arusha, alikimbia nchi kwa kisingizio kuwa anataka kuuawa, shame on him, akuue nani wewe kesho sana sana hana...
Naona kila kukicha mabango na vipeperushi vya Mapokezi ya vinazidi kuongezeka mitaani, kwani kuna nini?
Mbona kwa Tundu Antipas Lissu haikuwa Hivi? Au ndiye anayeandaliwa na chama kubeba mikoba?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.