comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Wana JF
salaam
Natumai shangwe, nderemo, vifijo, msisimko na furaha ya kumuona Dr Jakaya Kikwete katika ukumbi maalumu wa wageni viongozi waalikwa pale bungeni zilizotokea,wabunge walishindwa kujizuia kuonesha furaha ya kumkosa sana Mh Rais mstaafu Luteni Kanali mstaafu Dr Jakaya Kikwete baada ya kuhudhuria mualiko wa Bunge, Bunge lililipuka kwa furaha baada ya kumuona Dr Kikwete, mpaka Mh Spika mh Job Ndugai alisema hajawahi kuona mgeni mualikwa bungeni anashangiliwa hivyo na kwa muda mrefu hivyo waliommiss Kikwete WAPO, Aidha nahisi itakua hivyo kwa Dr Magufuli akistaafu urais na akijakupata mualiko wa Bunge ikitokea tukio la yeye kualikwa, wabunge wataonesha shangwe na nderemo kwa Magufuli.