Katibu mkuu wa CCM akiwa Singida anawauliza Wananchi Wana kero gani kubwa
Wananchi wanamwambia Mauaji kwenye jamii yameongezeka sana kiasi cha kuwafanya waishi kwa hofu kubwa. Komredi Chongolo...
Mradi wa maji Butimba umekwama, wafanyakazi wagoma
Wafanyakazi 200 katika mradi wa chanzo cha maji Butimba wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wamegoma kwa kile kinachotajwa wameshindwa kulipwa...
Mbunge wa Jimbo la Igunga Nicholaus George Ngassa tarehe 20 Februari 2023 alifanya Ziara kwenye Mradi wa Usambazaji wa Maji ya Ziwa Victoria kwenye Vijiji vya Kata Saba za Jimbo la Igunga.
Ngassa...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Janejelly James Ntate amefanya ziara ya kikazi katika Mkoa wa Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya majukumu yake kama Mbunge wa Mkoa wa Dar es Salaam...
Haipo tena haja ya kumung'unya maneno:
Ukweli ni mchungu lakini inabidi usemwe.
Wizi wao ni wapi usikoonekana?
Ni NHIF, LATRA, TRA, Polisi, Immigration?
Wapi penye unafuu?
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Tanzania haina mzigo wa mikopo ikilinganishwa na nchi nyingine za Afrika Mashariki na kusema hakuna nchi duniani isiyo na mikopo. Katibu Mkuu wa CCM, Daniel...
Kuna mambo inabidi kujiuliza na kutafakari kwa kina!
Matukio ya kuungua masoko na majengo ya shule za Umma nchini, yalishamiri sana katika utawala wa awamu ya tano ya CCM chini ya uongozi wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa...
Angalia mapokezi kule Mwanza. Mwanza ilikuwa ngome yetu. Mwanza tulikubalika hadi kwatoto leo hii tumepuuzwa.
Kanda ya za juu na Nyasa ndio kabisa. Tumekwama japokuwa tunachechemea.
Huko...
MHE. JANEJELLY NTATE AIBUKIA JUKWAA LA UCHUMI LA WANAWAKE
Mbunge wa Wafanyakazi Taifa anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Janejelly James Ntate aibukia Jukwaa la Uchumi la Wanawake Mwanamtoti...
Nchi na mataifa mbalimbali sasa wanaendeleza hamasa ya kuungana na chama chenye malengo ya kuongoza nchi kwa misingi ya amani, umoja, na upendo, na maendeleo pia na kuimarisha diplomasia. Hii ni...
Amesema mtuhumiwa mwenyewe ambaye yupo Mahabusu anatakiwa kuandika barua kupitia kwa Mkuu wa gereza na kukiri kosa ndipo ofisi yake itachukua hatua
Amesisitiza kwamba Mtuhumiwa mwenyewe ndiye...
MBUNGE MHE. DR. RITTA KABATI AWAPA SOMO WANAFUNZI CHUO KIKUU, AELEZA NAMNA RAIS SAMIA ANAVYOWAJALI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa, (CCM) Mhe. Dkt. Ritta E. Kabati @dr.rittakabati amewataka...
CHADEMA wanapaswa kuweka mbele agenda yake ya katiba mpya kila wanapopata nafasi. Ni vizuri leo katika ujio wa Lema wawe na mabango makubwa ya katiba mpya. Mapokezi ya Lisu sikuona pia mabango ya...
Kijana wangu amenipigia Simu kwamba muda huu wapo KIA kumpokea Lema
Nimemuuliza leo shule vipi? Kasema hata Walimu wao baadhi wako hapo Uwanjani
Nimeshangaa mno
Nchi ngumu sana hii
Mimi nimfuatiliaji wa News nyingi za mcni mbali mbali hasa za Africa, kwa EAC nafuatilia habari za nchi zote wanachama plus nchi kadhaa za Sadc.
Nimeseme ukweli Tanzania kuna teuzi,Raisi ana...
Ni Ushauri tu
Kwa mfano nyomi ya Chadema Kanda ya Nyasa na hata hapo Arusha nikizoom nawaona Wanaccm wengi tu
Mikutano ya hadhara ni kwa Wananchi Wote sasa haya masare yanalimit wasio Wanaccm...
Kumeibuka mjadala kuhusu swala la mchakato wa kuleta huduma ya intaneti kupitia kampuni ya Starlink. Wengi wakiitupia Serikali lawama kuwa inawekea vikwazo huduma hiyo kuingia nchini.
Binafsi...
Mbunge wa Singida Mashariki mh Miraji Mtaturu amesema Tundu Lisu amerejea alikokuwa kimya kimya Baada ya kuona Wana wa Ikungi wameshaachana na mambo ya Upinzani
Mtaturu amesema hata Mbowe...
nlikuwa naongea na watu flani katika kitengo flani cha serikalini.nchi hii watu wameiba. Watu wameiba sana.wameiba pesa nyingi sana katika awamu ya Nne.
Wanasema ile ilikuwa ni awamu ya chukua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.