Tetesi: Mbowe ataongea na Waandishi wa habari jijini Arusha leo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,901
141,840
Kaeni tayari kupata habari Njema kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani Chadema mh Mbowe

Mbowe ataongea na Waandishi wa habari jijini Arusha na kwa maana hiyo atalihutubia taifa
 
Kupanda bei..bitu vyoote plus huduma....mwezi mmoja baada mikutano ....mrejesho...pia suala wabunge Covid 19 na hatimaye ruzuku kujenga chama
 
Kaeni tayari kupata habari Njema kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani Chadema mh Mbowe

Mbowe ataongea na Waandishi wa habari jijini Arusha na kwa maana hiyo atalihutubia taifa
CDM are running all wide mboga mboga crew!!
 
Atolee ufafanuzi kuhusu chadema kulamba sega la asali kama akina waziri wa habari.
Tafadhali
 
Kaeni tayari kupata habari Njema kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani Chadema mh Mbowe

Mbowe ataongea na Waandishi wa habari jijini Arusha na kwa maana hiyo atalihutubia taifa
Aongelee hii issue aache utapeli!

JamiiForums-29707240.jpg
 
Back
Top Bottom