Kaeni tayari kupata habari Njema kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani Chadema mh Mbowe
Mbowe ataongea na Waandishi wa habari jijini Arusha na kwa maana hiyo atalihutubia taifa
Kwa masikitiko makubwa niende moja kwa moja.
Watanzania wengi hatuelewi na hatujapata bado ufafanuzi sababu zinazopelekea Vifurushi vya Internet kupanda mara kwa mara tena kwa ghafla miezi...
Kuna kitu hakipo sawa Tanzania na inasababisha sisi Wananchi tuichukie nchi yetu alafu viongozi wanatusisitiza eti tuwe wazalendo.
Ni zaidi ya dakika 50 sasa barabara ya moshi Arusha imefungwa...
Mbunge wa Umoja wa Wazazi Taifa CCM - Mbeya Mhe. Bahati Keneth Ndingo kwa kushirikiana na Haji Manara ambaye alisoma Shule ya Wazazi Chimala Secondary iliyopo Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya pamoja...
Nimesoma uteuzi wa Majaji uliofanywa na Mh Rais ,nimeelekeza Mawakili wangu waweke pingamizi mara moja la kuzuia kuapishwa kwa aliyekuwa DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu,hana sifa...
Amani iwe nanyi,
Kwa mara nyingine ,tutafakari masuala na madai mbalimbali ya wapinzani hususani dai la katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Katika kutafakari huku kila mtu ahitimishe kwa...
Habari za muda wanajamvi.
Naomba nitangulize shukrani kubwa sana kwa wanajamvi wote wa jamiiforums. Kiukweli, kimekuwa chombo kikubwa kilichosheheni vingi na kutosheleza kila idara.
Naomba niende...
Mimi Huwa ni mfuatiliaji mzuri sana WA cdm na sera zao ,japo HAWA mabwana sera zao za kudandia dandia ,Yan wanaendana na matukio ya wakati huo tu.
Hawana muendelezo na mipango ya muda mrefu. Back...
Huyu kijana amebeba kilio Cha familia nyingi nchini, amewatesa watu kwakuwabambikia kesi huku akikusanya pesa za watu kwa mgongo wa uhujumu uchumi.
Ofisi yake imeoza kwa kukosa hofu ya Mungu...
Happy Sabbath watu wa Mungu.
Mimi sio mfatiliaji wa siasa za Tanzania lakini kuna kitu nimeona hakipo sawa.
Toka Mama alipo ruhusu mikutano ya siasa, nimefatilia mikutano ya upinzani, nimegundua...
Mbunge wa Viti Maalum CCM - Kagera Mhe. Neema Kichiki Lugangira, Anaandika;
Namshukuru Mhe. David Kihenzile, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo kwa kunipa fursa...
Kama tulivyosema awali , kwamba leo tarehe 25//02/2023 Kwenye Kanda ya Nyasa inapigwa mikutano miwili mikubwa ya hadhara mmoja wa asubuhi wa Mbozi tayari umevurumishwa ambako wananchi wamepewa...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mhe. Rose Cprian Tweve amekuwa chachu ya maendeleo kwa wananchi wenzake kwa kujitolea kutoa matunzo na mahitaji yote...
Watanzania wengi wanafuatilia siasa za Kenya kuliko siasa za Tanzania. Kenya wanao Uhuru wa kufanya siasa na uchakachuaji WA matokeo hakuna kama ilivyo Tanzania.
Tanzania watumishi WA umma...
Leo wanaojiita viongozi wa Waendesha Bodaboda Tanzania wameibuka kujibu hoja ya Godbless Lema kuwa kuwa Bodaboda siyo ajira rasmi na wengi wanajitafutia laana Kwa matendo yanayowmbatana na...
Mbunge Mstaafu na Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani Mstaafu Godbless Lema amesema amepata taarifa kuwa kuna wanafunzi wanakalia matofali na ndoo wawapo madarasani jijini Arusha.
Lema ameagiza...
WanaJf,
Salaam za Krismas na Mwaka mpya 2023!
Najiuliza tu iwapo taasisi za kivyama ni imara na wanavyama wana utimamu wa akili kwa nini CCM imebadili wenyeviti mara 4 tangu miaka ya 2000 wakati...
Mfumo wetu wa elimu hauko sawa na unachezewa sasa sijui kwa malengo gani, tuanze na usahhihisha wa mitihani kuna dosari nyingi huwa zinajitokeza na hazifanyiwi kazi.
Mfano matokeo ya form...
Majuzi nimeona video clip mitandaoni ikimunesha Dkt. Slaa akihutubia kundi kubwa la wananchi mjini karatu huku pembeni kukiwa na bendera ya chadema ikipepea pembezoni.
Dkt. Slaa alisisitiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.