Freeman Mbowe Kuhutubia Taifa kupitia Waandishi wa Habari

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,360
217,391
FB_IMG_1678009002572.jpg

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Mh Freeman Mbowe leo 5/3/2023 atahutubia Nchi yake kupitia kwa waandishi wa Habari .

Taarifa iliyosambazwa na Chama chake kwa Umma (nimeiona) , inasema kwamba , Mwamba Mbowe atahutubia Taifa kutokea Hotel ya Corridor Spring ya Jijini Arusha , kuanzia saa 7:30 Mchana .

Usiondoke JF ili usipitwe na Hotuba hii kabambe , ambayo inatarajiwa kutoa Dira na Mwongozo wa Nchi .

Wote Mnakaribishwa .
 
Kama na yeye atakazia kwamba 'Bodaboda ni laana' basi msisahau kumuuliza jinsi Chadema itakachofanya ili kuondokana na hiyo laana.
 
View attachment 2537916

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Mh Freeman Mbowe leo 5/3/2023 atahutubia Nchi yake kupitia kwa waandishi wa Habari .

Taarifa iliyosambazwa na Chama chake kwa Umma (nimeiona) , inasema kwamba , Mwamba Mbowe atahutubia Taifa kutokea Hotel ya Corridor Spring ya Jijini Arusha , kuanzia saa 7:30 Mchana .

Usiondoke JF ili usipitwe na Hotuba hii kabambe , ambayo inatarajiwa kutoa Dira na Mwongozo wa Nchi .

Wote Mnakaribishwa .
Tunahitaji katiba na tume huru ya uchaguzi, hatutaki hizo hotuba sawa mwambie kamanda ajue
 
View attachment 2537916

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Mh Freeman Mbowe leo 5/3/2023 atahutubia Nchi yake kupitia kwa waandishi wa Habari .

Taarifa iliyosambazwa na Chama chake kwa Umma (nimeiona) , inasema kwamba , Mwamba Mbowe atahutubia Taifa kutokea Hotel ya Corridor Spring ya Jijini Arusha , kuanzia saa 7:30 Mchana .

Usiondoke JF ili usipitwe na Hotuba hii kabambe , ambayo inatarajiwa kutoa Dira na Mwongozo wa Nchi .

Wote Mnakaribishwa .
Tunahitaji sana hotba za mkuu.
 
Mkuu ninayekukubalia na uko karibu na hao washauri.
Basi uwaambie tu wasitoe kwenye dira ya nchi hii inayotaka KATIBA na Tume huru na ndio ilikuwa azimio.
Sasa inapokuja watu wanasimama majukwaani wakaketa mangonjera nyingine inakuwa kinyume.
Na waache kumwongelea Magufuli kwani yaliyopita si Ndwele tunahitaji kulikomboa hili Taifa! Umeona hata Rais mwenyewe amekubali Hali ya viongozi na uwajibikaji wa waliopewa dhamana ni mbovu mbaya kabisa.
Hivi wanapata wapi muda wa kupoteza pesa ya walipa Kodi kwenda kufanya semina ya uongozi?? Kweli hawajui kufanya kazi zao? Sina atumbue tu wako wachapakazi kibao! Amezidi kuwachekea tunakoelekea kubaya.
Mbona ile Shule ya Uongozi ya yule Balozi waliibeza?
 
Back
Top Bottom