Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,705
- 4,739
Moja kwa moja kwenye maada, kumekuwa na unafiki mwingi sana enzi na enzi kutoka kwa wanasiasa (ukiondoa enzi za awamu ya kwanza ya Julius), hawa jamaa huwa wanapanda jukwaani na kuandika na kusemea sana matatizo ya #thecommonmwananchi kinafki 120°
Mwanasiasa anahubiri elimu bora tena waweza kuta ni waziri wa elimu, naibu ama mwanasera, DC,RC, DED nk nk kuwa wanaboresha elimu na mazingira yake shule zetu za mtakatifu kayumba hizi na mifumo yake but yeye huyo huyo watoto wake na familia yake wanasoma saints schools, academia na nje Za nchi. Unafiki wa hali ya lami.
Njoo kwenye afya, hivyo hivyo bima za afya blah blah tumeboresha hospitali na vituo vya afya na vifaa tiba ila yeye na familia yake wakiugua hawaendi hizo hospital unless kwa dharula ila utawasikia saifee, aghakan,TmJ, nk nk unless Muhimbili VIP kama sio nje kabisa India, Nairobi na Ulaya Ujerumani. Bora hayati JPM alikataa katakata na mwendo wake aliumalizia hapa hapa. Unafiki tena mbig.
Ajira hivyo hivyo wanatupigania ila wao hawajiajiri kiuhalisia, na wanaatuambia tujiajir huku mazingira chanya hakuna kitaa, wanasema veta veta ila watoto wao hawawapeleki huko, wanawapigania kuwaingiza kwenye mfumo wa siasa na tender, wanasema boda boda ni ajira ila wao hawawashauri watoto wao waende huko, mama nitilie ni ajira ila wao hawana watoto wao huko same machingaz nk nk
Simple tu iwekwe sheria kama ni mtumishi mwandamizi wa umma sijui education minister, health bra bra your family na wewe should use local facilities uone kama elimu na afya huduma haizajapaaa. Yaani mkuu wa kitengo cha traffic anakaa mbweni ila kwenda posta jijini pale kazini anakuja asubuhi na king'ora akisafishiwa barabara na sweepers plus riders tena anapita against traffic kwenda kazini na kurudi hajui machungu ya foleni then unategemea akuondelee foleni? Penye we² unaamka saa 11 asubuhi yeye anaanza safari saa mbili kasoro. Foolishness!
Ifike pahala iwekwe sheria isiyosema kama wewe ni mwandamizi wa serikali adhere with local contents uone kama hatujapiga hatua.