Natafakari tu;
Viongozi wa ACT Wazalendo wangekimbia nchi baada ya uchaguzi!
Viongozi wa ACT Wazalendo wangerudishwa nchini kwa Msaada wa Ikulu (kufuta Kesi).
Viongozi wa ACT Wazalendo wangelipwa...
Leo nimekutana na baadhi ya video za John Pombe Magufuli zikiwa zinapostiwa kwenye akaunti za youtube za Spain, India, peru na Waarabu kweli kweli huyu mwamba alikuwa ana fatilia na watu wengi...
Historia ni nini?
- Historia ni somo lihusulo mambo/matukio yaliyopita[ kale ], yaliyopo na yajayo.
Kabla hatujawatupia mizigo yote ya lawama Chama cha Mapinduzi [CCM] kwa huu umasikini wa taifa...
"Uongozi wa Chadema,kuweni wawazi kwa wafuasi na wanachama wenu!"....
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ndio yenye jukumu la kugawa ruzuku ya kila mwezi kwa vyama vya siasa vyenye sifa kwa...
Swali linaeleweka wakuu naombeni kujuzwa najua JF wengi mmesafiri mambele huko; je, huko kuna taratibu za kushusha bendera na watu wakasimama kusubiri filimbi ipulizwe nchi za wenzetu huko?
Hii inaashiria nini?
1. Je, ni maridhiano ya upinzani na CCM?
2. Je, kwa hili jambo la nadra, Halima Mdee et al wataondoka Bungeni kweli?
3 Je, No. 2 hapo juu kama ni Wabunge halali...
Mh Nape!
Hatukufichi mkuu, wewe huna chochote mpaka sasa ulichosaidia wananchi kwenye wizara yako zaidi ya kuwakamua tuu kupitia vifurushi huku huduma zikiwa mbovu zaidi,
Haujawahi kuwatetea...
Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza...
Watanzania wenzetu tuungane kwa umoja wetu kumpongeza Rais Wetu Dkt Samia kwa juhudi zake za kuifanya Tanzania ionekane kwenye nyanja za utalii.
Vyombo vya habari kimataifa vinalitambua hilo...
Watch TBC Live toka Bungeni!
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amekubali yaishe, wanamtambua JK kama Rais, Wanampongeza!
Mbowe ameomba reconciliation for the sake of Umoja wa Kitaifa.
Big...
Habari ndugu Wana jukwaa.
Ile ndoto ya Mwendazake kuifanya Chato kuwa Mkoa inaonekana kugonga mwamba Kama sio kuota mbawa kabisa kufuatia Mikoa Jirani Kugoma.
Taarifa kutoka huko Kigoma,Mwanza...
Askofu Gamanywa wa BCIC amesema Mwenye Haki hutwaliwa ili kumtenganisha na Waovu asije akaangamizwa pamoja nao
Askofu Gamanywa amesema Mpinga Kristo ambaye atakuja kiutawala hii Dunia ni Shoga...
Njombe yametokea matukio mawili ya kujumu wakulima katika eneo la Mbolea. Wasambazaji wa Mbolea badala ya kupeleka Mbolea wanasambaza maelfu ya magunia ya mchanga na vitu vinavyofanana na mchanga...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ametoa rai kwa Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuwekeza katika michezo ikiwemo ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya viwanja...
ANTONY DIALLO ANAZEEKA VIBAYA
Kwanza kabisa nianze kwa dhati ya moyo wangu kumpongeza katibu wetu wa Umoja wa Vijana wa CCM Tanzania (UVCCM) ndugu yetu, na kaka yetu Kenani Labani Kihongosi kwa...
Labda kama walikua wanajipongeza kwa namna wanavyokula kulingana na Kamba zao.
Hayati Magufuli (JPM) hakuitisha cha Semina wala nini, lakini watu walichapa kazi, Pesa zilitokewa na kufika, Kwa...
Katika vitabu vitakatifu Abraham au Ibrahim alipewa ahadi na mungu ya kumbariki uzao mkubwa kama mchanga wa baharini kwa sharti Moja tu .akubali kuondoka katika nchi ya baba zake ukaldayo aende...
Jamani kama ni kulia leo nimelia, enough is enough, yaani miaka 60 plus ya uhuru bado tupo kwenye ‘Least developed countries?’ Jamani watanzania tuamke, wenzetu Kenya hawapo kwenye hii list
Nimesoma mabango ya Waendesha Pikipiki jijini Arusha wakiwa kwenye msafara wa Rais.
Nimeona sasa wanajitambulisha kama Maafisa Usafirishaji na siyo Bodaboda tena.
Sina hakika kama wanaelewa...