BODABODA ni jina maarufu lililozoeleka nchini Tanzania likimaanisha ni Dereva anayeendesha chombo cha moto aina ya Pikipiki, ambapo kwa siku za nyuma iliaminika ni usafiri ambao anaweza kutumia...
Taarifa kutoka Mahakamani zinaeleza kwamba , miongoni mwa mashahidi Muhimu kwenye kesi iliyofunguliwa na Mamluki Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya CHADEMA , watakaohojiwa na Mawakili wa Utetezi ...
Leo hii saa 8 Mchana, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itatolea uamuzi Mapingamizi yaliyowekwa na Mawakili wa Chadema dhidi ya waliotimuliwa kwenye chama hicho wanaoongozwa na Halima Mdee ...
Wakuu,
Askofu mkuu Jimbo Katoliki la Dar es Salaam anaongea na waandishi wa habari juu ya Pugu Marathoni lakini pia amegusia swala la maadili ya jamii. Amesema amefurahishwa na kauli dhabiti ya...
Wala haina ubishi, kila kitu kipo wazi kwa sasa, CHADEMA nawapongeza kwa hii style mliyokuja nayo, hata kule Kenya, kuitoa KANU wapinzani walishika urafiki nao na kujua siri zao zote.
Hakukuwa na...
Ni jambo la kheri kuwa CHADEMA itakuwa na ugeni mkubwa kesho. Uthibitisho thabiti kuwa upinzani siyo jinai tena.
Pongezi nyingi kwa Mama Samia Rais wetu kwa hili.
Hivyo basi itumike fursa hii...
Rais wetu wa awamu ya 5, Dkt Magufuli alishafariki, hatuko naye tena. Hasikii, haoni tena. Amerudi mavumbini.
Mtu amefariki tarehe 17/3/2021 lakini hadi leo kuna watu wanamsema vibaya...
MBUNGE MHE. AMINA MZEE AMESHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA CHIPUKIZI WILAYA YA MICHEWENI
Mbunge wa Viti Maalum Vijana Mhe. Amina Ali Mzee ameshiriki Maadhimisho ya wiki ya Chipukizi Wilaya ya...
Amefunguka
👇
====
Alichokisema Hamis Kigwangalla katika majadiliano ClubHouse
Mbunge wa Jimbo la Nzega Vijijini, Dkt. Hamis Kigwangalla amezungumza kwenye majadiliano ya Clubhouse na kuelezea...
Ukimsikiliza Lema haongei kwa bahati mbaya. Anachoongea na anachofanya sasa ni kufitinisha Wanachama na Chama Cha CHADEMA. Alianza na kusema waendesha Boda boda wamelaaniwa. Hivyo, hata kula zao...
Miongo mitatu sasa, lugha inayongumzwa na wapinzani ni kufa kwa CCM, lakini mpaka ukimuuliza yeyote akuambie kitatokea lini na wapi au kitasababishwa na nini, hakuna mwenye uhakika. Wengine...
Wazir wa Kilimo ameagiza Mshindo Msolwa na wafanyakazi wengine wanosimamia ghala la kuhifadhi Mbolea wakamatwwe baada ya kubainika wamehifadhi mchanga unaofhaniwa unatumika aidha kama bosheni au...
Naenda moja kwa moja kwenye hoja ya msingi,
Hivi umejaribu kutumia hata dakika tano kumsikiliza huyu jamaa anaitwa Ezekia Wenje Mbunge Mstaafu wa CHADEMA wa jimbo moja huko Mwanza, jamaaa anajua...
Uchaguzi wa mwaka 2025 hauko mbali, ni wakati sasa vyama vikaanza kuandaa ajenda au ilani kama wengine wanavyopenda kuita.
Katika hizo ilani zao haya yasikosekane ajira nzuri za heshima/"Decent...
Chama cha ACT wazalendo Kumpongeza sana Rais Samia kwa kukubali mwaliko wa Bawacha kuwa mgeni rasmi kwenye Mkutano Wao Siku ya Wanawake Duniani 8/3/2023.
ACT wanasema hii inaonesha nia Njema ya...
Kudos Wadau.
Hakuna awamu ambayo VP na Waziri wa Fedha Wana enjoy kama awamu ya 6.
Kazi ya VP haidharauliki tena sio ya kutembea na mkasi Kali ilivyozoeleka.
Hongera zake.
Makamu wa Rais wa...
Kuelekea siku ya wanawake Duniani, Jamii Forums inatambua umuhimu wa wanawake kushiriki katika sekta mbalimbali kwa kuwa wana uwezo na juhudi za kufanya kazi kwa ufanisi na inajivunia ufanisi na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 16 Januari, 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Dkt. Olusegun Obasanjo Ikulu Jijini...
Juzi tumesikia vyombo vya habari vikiripoti ujio wa Mzee Obasanjo.
Ni uhakika kwamba alikuja kwa ajili ya jambo maalumu ..
Ni kama vile Rostam aziz alipo kuja kushughlikia swala la mdogo wake...
Duniani kote alipowekeza Dangote itokeapo sintofahamu Mzee Obasanjo huwa wa kwanza kwenda kwa wakuu wa nchi husika kwa kisingizio cha kuwatembelea kama mstaafu.
Ukiunganisha dot ni wazi unaweza...