Wengine wanafikiri bado tupo kwenye zile zama za ulimbo na ulimbombo, zile zama za kuambiwa Jambo na kukubali bila kujiridhisha. Wanaofanya hivyo wanatambua watanzania ni wavivu sana wa kutafuta...
Naibu waziri wa Afya Dr Mollel amesema mambo ya hovyo bado yanaendelea sehemu mbalimbali nchini kwa sababu hakuna Dini iliyowahi kumshinda Shetani
Source Star tv
Heche, Kwanza pole na majukum ila pia hongera kwa kunimalizia bando maana nakusikiliza sana kwenye ziara mbalimbali za kichama usimamapo jukwaani, kipo kibari kikubwa juu yako, Mungu anasema juu...
Wanabodi,
Nchi hubarikiwa kwa viongozi wake kufanya mambo mema.
Kwa kauli hii, ya jana ya Rais Samia alioitoa Bukoba, kwa kutoa msamaha wa jumla wa deni la kodi, za nyuma, Rais Samia...
Wanawake, wanauwezo wa kushinda chaguzi kuliko wanaume, hivyo hawahitaji tena upendeleo au kutengewa viti maalum!.
Imethibitishwa kuwa wanawake wakijengewa uwezo wa kujiamini, wanauwezo wa...
Good morning members.
Heri ya siku ya wanawake.
Ukiangalia Kwa jicho la kawaida kabisa ni kwamba Mh. Rais ana ndoto ya kuona siasa za bara na Zanzibar zinakuwa Sawa 2025.
Inaonekana Rais anataka...
Nchi hii narudia tena ina watu wapumvavu sana, yaani kuna raia wanaaminu mtu kama Mbowe kazaliwa aje Duniani kuwatetea na kuwasemea wao wakiwa buys na mambo yao na ikibidi Mbowe aandamane yeye na...
Kulikuwa na hekaya kuwa huko juu milimani kuna bonde ambalo wakazi wake wote ni vipofu. Siku moja mpanda milima mmoja kwa bahati mbaya aliteleza na kuporomokea kwenye bonde refu sana. Bonde...
Kweli Rais Samia ni Profesa wa siasa. CHADEMA inakufa hivi hivi. Ikumbukwe siasa ni Imani na ni Itikadi. Salamu katika siasa inabeba falsafa ya chama kama ilivyo salamu za dini. Huwezi kuingia...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ametoa wito kwa Watumishi wa Wizara hiyo waendelee kuzingatia maadili ya utumishi wa umma na kufanya kazi kwa bidii ili kutimiza...
Mbowe anawaza kujenga nchi Bila kujali madhara kisiasa Kwa chama chake. Amefanya hivyo kila anapoingizwa majaribuni na watawala.
Upande wa pili viongoz WA CCM mara zote wamekuwa wakimtumia Mbowe...
Mh Sugu ameandaa Tamasha kubwa la Muziki siku ya Leo ndani ya Serena Hotel, huku akishirikiana na wanamuziki wenzake Wakongwe, Akiwemo Komando Jay Dee.
Sasa cha kushangaza ni aina ya watu...
Unapokwenda kwenye negotiation lazima ukubali baadhi ya Haki zako kulingana na terms za majadiliano.
Serikali chini ya CCM imeridhia na imethibitika hivyo kwamba mambo yafuatayo yakifanyika kama...
Nadhani inabidi kuirejea hii ajenda ya katiba mpya, ni kweli wananchi wanaitaka au ni wanasiasa ndio wanaitaka?
Kenya Wana katiba mpya, lakini bei za bidhaa ziko juu mpaka Leo Erick Omondi...
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema alijaribu kufanya Shahada ya Uzamivu lakini kutokana na majukumu mengi ameshindwa huku akisema ataimalizia baadaye.
Mkuu huyo wa nchi...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi.
Lema amesisitiza Kuwa Bodaboda ni...
Nimeona uzi wa mdau mmoja Upepo wa Pesa nadhani akilalamika ni kwanini nala wawekeze USD 5 Million in Kenya wakati kampuni imeasisiwa na mtanzania?
Mods nawaomba msiunganishe huu uzi kwasababu...
Kwa ambao hamjui NALA ni kampuni ya Tanzania inayo jihusisha na huduma za fedha.
Siku chache zilizo pita mkuu wa kampuni hiyo ametangaza kujenga makao makuu ya kampuni hiyo nchini Kenya na...
Kwakweli nimechoka na siasa za bongo.
Miezi michache iliyopita Zitto Kabwe alikuwa anashambuliwa Kila Kona kwa sababu ya ruzuku. Wakamwita msaliti na matusi chungu nzima. Leo Chadema chini ya...
Tumechoka damu ya watanzania kumwagwa kila mara, Lowasa, Mbowe na Sumaye na Katibu mkuu wachukue wake zao na wanao waanzishe maandamano na watueleze wanaanzia wapi.- OLESENDEKA (muda huu redioni...