Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KABURI LA MAGUFULI KULE CHATO BADO LINATISHA Agenda ya Upinzani kwa sasa ni Kulishambulia Kaburi la JPM na JPM mwenyewe. Toka wameruhusiwa kufanya mikutano ya Hadhara wameshindwa kuleta hoja...
29 Reactions
75 Replies
4K Views
Wadau niende kwenye mada. Naomba nisaidiwe kujua CV ya Kulwa Biteko ili nimfahamu vizuri huyu mbunge wangu wa Busanda ajae kwa kasi Dotto na Kulwa Biteko
1 Reactions
27 Replies
19K Views
Nasema na wanasiasa na wanaojiita wanaharakati tuna jambo kubwa sana kwa wakati huu kama nchi kukosekana kwa mvua ya kutosha ambayo tunategemea kwenye kilimo ukiwemo na umeme Hoja yangu ni hii...
1 Reactions
3 Replies
638 Views
Kuwa na Ofisi ni sehemu ya utambulisho wa mahali taasisi fulani inapatikana. Lakini kuwa na Ofisi hakuhusiani na uimara wa taasisi husika. Makampuni yanayofilisika au taasisi zinazoshindwa...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
CCM kimekuwa chama chenye milengo mbalimbali (rangi nyingi), na kwa maoni yangu hii ni sababu mojawapo inayofanya vyama vya upinzani wapate taabu sana kukikabiri barabara chama hiki na kukiondoa...
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Ndugu wadanganyika wenzangu, Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA ya mwaka 2015 pamoja na mambo mengine, ilikuwa na mambo yafuatayo; 1. Kujenga reli mpya na kukarabati zilizopo kwa viwango vya kisasa...
13 Reactions
59 Replies
3K Views
WanaJf, Salaam! Haya ni maneno ya viongozi wa juu wa Chama cha Chadema:- (a). Tundu Lissu - Tanzania ni nchi pekee duniani yenye watu waoga na wajinga. Aliongeza kuwa "nilitegemea kuona vijana...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepokea na kujadili taarifa ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu muundo na majukumu ya Wizara hiyo kwa mujibu wa ratiba na vikao vya...
0 Reactions
0 Replies
582 Views
Profesa Ibrahim Hamis Juma anastaafu mwaka huu, 2023. Jaji Mkuu alipata mamlaka hayo kipindi cha awamu ya tano, na kimsingi, ilikuwa ni mahala pa yeye kutenda alichohubiri madarasani kwa maisha...
22 Reactions
101 Replies
7K Views
Ameyasema leo akihojiwa na Ngasa TV leo Dodoma akiwa njiani kuelekea nyumbani kwao Ikungi, Singida.. Akizungumzia utawala wa Rais Samia Suluhu, amesema moja ya mambo yaliyobadilika kidogo baada...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hello! Naona Lema ameanza kwa gia ya matusi kwa wanaojiita bodaboda. Lema amesema bodaboda sio kazi ila ni laana. Hivi hizi si ni dharau kwa vijana wa bodaboda? Yaani watu wanaendesha familia...
15 Reactions
357 Replies
25K Views
Ilianzia hapa! [emoji116] Kisha ikafuatia hapa! [emoji116] Kisha sikiliza hoja ya Mpina! [emoji116] Kwa sababu,nchi hii watu wakweli ndio wanawindwa kuliko majambazi na Mafisadi! Ameamua kwa...
19 Reactions
116 Replies
7K Views
April 2014 kwenye bunge la katiba, Tundu Lissu alitoa mashambulizi makali sana kwa baba wa taifa Mwl Nyerere. Moja ya mashambulizi hayo ni madai kuwa mwalimu alizoea vya kunyonga, hivyo...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Asalaam Aleykum wana JF. Nawapenda sana. Nadondoka kwenye mada moja kwa moja. Kulingana na utafiti mfupi nilioufanya, nimegundua kwamba Hotuba na ziara za Hayati JPM zilikuwa zinafuatiliwa na...
4 Reactions
81 Replies
4K Views
Jana mawakili wa Sabaya na wenzake watano wameweka pingamizi la awali katika kesi ya rufaa waliyofunguliwa na Serikali. Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imetupilia mbali pingamizi lililowekwa na...
5 Reactions
76 Replies
6K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kamati kuu ya chama chochote kile ndio chombo Cha juu kabisa Cha kimaamuzi, ndio Taswira ya chama husika,Ndio Nembo ya chama,,Ndicho kitoacho muelekeo na misimamo yake...
7 Reactions
88 Replies
4K Views
Watu wenye Akili tunajua kuwa siasa za Tanzania ni ubabaishaji mtupu. Miaka 60 hamna Jambo la maana mmefanya zaidi ya wizi wa rasilimali zetu. Kila siku mnabatiza watu majina mara wanyonge bla...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Aliwahi kutamka hadharani kuwa shamba lake la korosho na nyumba yake vilichomwa na serikali chini ya hayati JPM. Aliwahi kusema kuwa serikali imenunua ndege Mbovu na moja tu ndio inafanya kazi...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Ndugu zangu Diaspora tunapopigania uraia Pacha tuwe japo na data zakuonyesha mchango wetu kwenye uchumi WA Tanzania. Tuamue SASA kulazimisha remittance zisomeke kwenye vitabu vya hesabu, tukubali...
7 Reactions
11 Replies
838 Views
Mama, ulisema kuwa viatu vya JPM havikutoshi, na hata Watanzania wameshaona hivyo kuwa havikutoshi kweli kweli. Lakini pamoja na hayo, naomba angalau ujaribu kufuata nyayo zake kwa baadhi ya...
22 Reactions
103 Replies
4K Views
Back
Top Bottom