Ukweli lazima usemwe kuwa kifo cha CUF wa kulaumiwa ni Lipumba.
Kwa tamaa ya fedha ulikubali kuigawanya CUF na kukoleza moto na chuki zako dhidi ya marehemu Seif Sharif kwa kutumikia Jiwe...
Chama ambacho kinashindwa kulinda rasilimali za nchi hakifai kuchukua dola. Wakati Chadema tunasema People's Power tunamaanisha nguvu ya umma. Anayeiua Muleba ni CCM hatupaswi kumlaumu yeyote...
Wakenya hawakubaliani na hali ngumu ya kupanda kwa bei ya bidhaa hasa unga
Watanzania ni hewala kwa kila jambo, hii ni aibu sana kwa taifa.
Iko haja ya kupima akili ya watanzania kama ni timamu...
Yafuatayo ni maoni yangu yasiyoegemea upande wowote wa kisiasa.
Sura ya Kwanza, Sehemu ya Tatu ya Katiba inahusu Haki na Wajibu Muhimu (Haki ya Usawa, Kuishi, Uhuru wa Mawazo, Kufanya kazi, na...
Watanzania wenzangu nawasalimu. Nirudi kwenye Mada hapo juu CHADEMA ni Chama kikuu cha Upinzani Tanzania. Chadema mwaka 2015 kilishiriki Uchaguzi Mkuu ambao kilimsimamisha Mzee Edward Lowassa kama...
Hebu itazame kwa makini halafu tuambie.
Miongoni mwa watu hawa unaowaona hapo hakuna ambaye hajawahi kukamatwa, kufungwa jela au kulogwa, lakini kwa nguvu ya Mungu leo wanadunda.
Utukufu wa...
Ikiwa leo ni siku ya Wanawake Duniani, ambako wamama wengi wanaadhimisha siku hii kwa shamra shamra, makongamano na mambo kadha wa kadha, nimejitahidi kuangaza huko na kule ili kuona kama wanawake...
CHADEMA baada ya kuruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa tangu wameongea na wananchi wao ni mapambano na mtu ambaye hayupo duniani kilichobaki hawana hoja ya msingi.
Nachofurahi ni kwamba wanaona...
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa kutoka Mjini Iringa, ambako kunafanyika Maandamano Makubwa ya Wamachinga wanaotaka Mchungaji Msigwa arejee Bungeni Jumatatu asubuhi ili akawatee kama awali...
Imebidi niulize ili kujua huyu OCD kama bado ni muajiliwa wa Jeshi la Polisi ama labda kishastaafu, maana kwa rekodi zangu Huyu Mpina na Lazaro Mambosasa ndio Polisi ambao rekodi zao za...
Mara nyingi sisi hupenda kuiga au kujilinganisha na hawa wenye demokrasia yao waliyoitengeneza kwa muda mrefu.
Sasa nauliza, hizi mbinu za CCM ya Samia na CHADEMA ya Mbowe inakidhi kweli...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 11 Machi, 2023
Bila shaka wengi mnamkumbuka vizuri huyu Mheshimiwa, mimi namkumbuka zaidi kwa uchapakazi wake akiwa Naibu Waziri Tamisemi awamu ya 4, alionekana kuwa mtendaji mzuri na alivutia kwa uwezo wake wa...
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amemshauri Rais John Magufuli atakapokwenda Mbeya kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kuongeza mishahara kwa watumishi...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Taasisi ya Al Hikma Foundation chini ya Mwenyekiti Sheikh Nurdeen Kishk kujadili...
Kuna watu bado hawaelewi. Rais Samia anataka kuweka demokrasia sio kwa mapenzi ya Chadema au CCM bali ni ukweli kwamba demokrasia imara inasaidia kwenye maendeleo ya nchi
Vyama vya siasa kupewa...
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema mageuzi yoyote makubwa ya kisiasa huanzia kwenye majiji makubwa mfano Nairobi Kenya, Kampala Uganda na Lusaka Zambia
Hivyo Chadema inatangaza kampeni maalum...
Kwanza kabisa naanza kwa kumsalimia Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan kwa heshima zote kabisa maana najua atasoma uzi huu kwani anapita humu na tupo naye.
Ni swali la moja kwa moja tu, kama...
Nadhani Diwani angepelekwa ubalozini huko Canada au mahala pengine ili kutoa smooth working condition kwa anayekuja, na itaondoa tension fulani ambako huwa kanakuwepo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.