Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam, imehifadhi magari 6 yaliyotumiwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, wakati wa uhai wake, likiwemo gari ambalo lilitumika katika awamu tatu za uongozi...
9 Reactions
71 Replies
6K Views
Askofu Gwajima amesema dunia ina mambo yake na utaratibu wake wa kufikia malengo na usipokuwa na akili basi utapata tabu sana. Askofu Gwajima amesema vita ya kwanza ya dunia iliyoua watu zaidi ya...
13 Reactions
66 Replies
8K Views
MHESHIMIWA RAIS SASA NI MUDA WA KUWAKUMBUKA WATUMISHI WA UMMA KATIKA TEUZI ZA MA-DED, MA-DAS na Wakuu wa Taasisi za Umma 1. Tunatambua nguzo kuu mbili katika utendaji wa serikali. Ya kwanza ni...
5 Reactions
9 Replies
4K Views
Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri. Inashangaza Rais Samia kumfutia mharifu makosa Hii ni kinyume na katiba. 👇 "Kwa hiyo mdogo wangu...
13 Reactions
509 Replies
26K Views
Nimekuwa nikisikia hili jina kitambo Sasa. Najua hili jukwaa la Siasa. Kwanini CCM wanaitwa MATAGA? Binafsi sifurahishwi na hili jina, japo sijui maana halisi.
0 Reactions
5 Replies
845 Views
Kusimamia Haki kunalipa, kusimama na wanaoonewa kunalipa na siku zote wananchi awafundishwi kuchagua jema na baya Bali wanalazimishwa kuchagua wasichokitaka. Majimbo mengi ambayo wagombea Ubunge...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Hali ya CCM JIMBO LA HAI imeanza vibaya baada ya diwani wa ccm kata ya masama kusini kunyanganywa gari lake na Mwenyekiti wa Uvccm Jimbo la Hai. Baada ya kupokea gari limefungwa na kuwekwa Ofisi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ukisikia kiongozi anaitwa Dikteta ujue ameminyia makanjanja wa nchi ulaji. Makanjanja wa nchi wanataka na wao wapate kula, wafaidi mema ya nchi hivyo humsema kiongozi dikteta kwa sababu...
8 Reactions
55 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ameishauri selikali kufuta mabweni kwenye shule zote za Msingi Sekondari na high school ili watoto walelewe kimaadili na Wazazi wao...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Comrade Juma Zuberi Homera amewataka makamanda wa Polisi wa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, Mbeya, Iringa, Njombe, Rukwa na Songwe kushirikiana katika kuzuia na kudhibiti...
0 Reactions
2 Replies
915 Views
MBUNGE MHE. HUSNA SEKIBOKO AGAWA MITUNGI YA GESI KIJIJI CHA LUKOZI, LUSHOTO-TANGA Mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa wa Tanga, Mhe. Husna Juma Sekiboko tarehe 11 Machi, 2023 alifanya ziara katika...
0 Reactions
3 Replies
686 Views
Tanzania chini ya CCM imeshindwa kabisa kukibadilisha kilimo cha wananchi wake. Nakiri kusema toka imepata uhuru wake mwaka 1961 imekuwa na wakulima wadogo wadogo wanaolima kwa kutumia jembe la...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
WABUNGE 35 KWENYE MAFUNZO YA APSEZ NCHINI INDIA Wabunge 35 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kamati mbalimbali za Bunge hilo wapo katika ziara ya mafunzo Nchini India, kujifunza...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Machi 2023 amemuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali...
2 Reactions
55 Replies
7K Views
Makamu wa Rais na Waziri mkuu mstaafu mzee Sinde Warioba amesema mzee Mwinyi alipoingia madarakani kama Rais mwaka 1985 na yeye kuwa msaidizi wake walikuta nchi haina kabisa akiba ya fedha za...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Nianze kwa kukupa pole na majukumu ya kitaifa, nikupongeze pia kwa kuimudu vema wizara yako kwani unamsaidia vema mh Rais wetu mpendwa Dkt. John Pombe Magufuli. Niende sasa kwenye mada yangu...
7 Reactions
253 Replies
34K Views
Wahenga walisema ukila nyama ya mtu basi wewe utaendelea kula hiyo nyama. Mara baada ya kupatikana muafaka na dawa ya kuwacha marumbano kati ya CHADEMA na CCM baadhi ya wana CCM wameamua...
20 Reactions
99 Replies
8K Views
Haya mambo ya kulazimishana kwenda mikutanoni tulishayasahau. Tukadhani nyomi ikikosekana unakubali matokeo ki Lipumba Lipumba. Kumbe Mambuzi haiko hivyo. Kikinuka wazee mzima wanakomaa...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
MHE. ENG. MWANAISHA ULENGE ASHIRIKI MKUTANO WA 146 WA UMOJA WA MABUNGE DUNIANI MANAMA, BAHRAIN Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Tanga, Mhe. Eng. Mwanaisha Ng'anzi Ulenge ni miongoni mwa...
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Nabii Lema siyo mwoga na hii Ndio silaha kuu aliyokuwa nayo mchungaji Mtikila kutoka Upangwa Ludewa Ninamuona Lema akivaa viatu vya mchungaji Mtikila kiboko ya gabachori. Tuzidi kumuombea Lema...
1 Reactions
3 Replies
627 Views
Back
Top Bottom