Nimesoma pahala maneno mazito ya kufikirisha, yakisema hivi:
"Utawala usiokuwa na Miiko wala Maadili ni sawa na nyumba isokuwa na mume" Je, unakubaliana na maneno haya? Tujadili...
Taarifa Ikufikie popote ulipo kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo tarehe 13/03/2023 kitafanya Mkutano Mkubwa wa hadharara kwenye Jimbo la Nyamagana.
Mkutano huo utafanyika...
Duniani kote serikali huwa zinatengeneza mfumo wa kuwa na siri kwa dhana kwamba siri ndiyo huendesha kwa ufanisi masuala yahusuyo tawi la utawala (Executive Branch). Wakati Bunge hupenda kuendesha...
Habari Wadau..
Shirika la Ndege Tanzania ATCL limeshitaki kampuni ya Airbus Kwa kushindwa kutengeneza ndege zake 2 toka mwaka jana Mwezi wa 10.
ATCL imefikisha Mashitaka kwa Shirikisho la...
Kuna post ya Maria Sarungi inayozungumzia kutangazwa kwa habari za convicted rapists (Babu seya na mwanae) kusamehewa na habari ya Tundu Lissu.
Sasa Nikki wa Pili kadakia na kuanza kulaumu media...
Nilishuhudia gari la mwisho lililobeba chuma chakavu kutoka IPTL likikamatwa pale Skansika usiku wa Jumapili 05/03 2023, ambapo watu 3 waliokuwa kwenye gari na Polisi waliokuwa wakilinda Mitambo...
Kwa nyakati tofauti Kiongozi wa Upinzani Tanzania alikuwa akiongoza mapambano yakimkakati katika kulikomboa Taifa, kiongozi alionesha nia ya dhati kupiga vita Ufisadi, Matumizi Mabaya ya Serikali...
Mkutano wa Kamati ya Kudumu ya Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika ( SADC) umefunguliwa leo tarehe 13 March 2023 jijini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambapo...
Kwa speech ya Leo hii tayari Mama ameshawatoa hawa jamaa kwenye kinyang'anyiro cha uspika automatically?
Mama ujue anakocha mzuri 2025 nimeota fomu itachapishwa Moja tu
Kwa hiyo ameifuta ile...
Nianze kwa kusema RIP Gervas Kalolo
Hapo Mashine 3 ambapo Wamachinga wamebomolewa vibanda vyao Manispaa ya Iringa ndio nyumbani kwao Kamanda Gervas Kalolo RIP wa Chadema
2020 nilishangaa sana...
United States Vice President Kamala Harris will be the 18th and most senior American official to visit Africa this year in late March.
The tour to Ghana, Tanzania, and Zambia was scheduled for 25...
Kama unabisha jaribu kuifuatilia Mikutano ya ACT Wazalendo na ile ya Chadema au Wafuatilie Abdul Nondo wa Ngome ya Vijana na John Pambalu wa Bavicha.
Vyama haviikosoi CCM wala havielezi sera zao...
Nawasalimu wote,
Nianze kwa kumpongeza mheshimiwa Rais SSH kwa hatua anazochukua kuleta maboresho katika mfumo wa "Haki-Jinai", katika hili nimeona ana nia ya dhati kuleta mabadiliko chanya...
Kosa la kumuapisha mtu bila ridhaa ya taasisi husika ni kosa kubwa sana!
Miguna miguna alimuapisha Odinga na karejea Kenya baada ya muda mrefu kuwa Canada! Je, kuna tishio lolote Lissu na Lema...
Baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe kusema chama chake hakihitaji ushirikiano au muungano na vyama vingine vya upinzani baadhi ya viongozi wa upinzani wamemshukia kama mwewe.
Selasini wa NCCR...
Atamsifia Samia kwamba kaimarisha demokrasia na kwamba kaleta haki za binadamu na karuhusu upinzani kufanya mikutano. Samia atavimba kichwa na kufurahi kusifiwa na makamu wa rais wa Marekani...
Najiuliza tu kwa sababu Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe ni Boss mwenza wa Shirikisho la Vyama vya Demokrasia Duniani lenye ofisi zake Marekani.
Sasa iwapo huyu mama Makamu wa Biden ambaye...
Nimechunguza kidogo kuhusu jambo hili na kiukweli nimethibitisha .
Wale wote waliojaribu kuhujumu Chadema Kwa sababu ya Madaraka , fitna , usaliti , uchawi au kwa lolote lile wengi wamekufa na...
MHANDISI FATMA REMBO ACHANGIA MILIONI 2 UWT MUFINDI NA KUAHIDI KUTOA PIKIPIKI KWA UWT WILAYA ZOTE MKOA IRINGA.
Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa Ndugu Fatma Rembo mnamo tarehe 11 Machi, 2023...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.