Mahakama yatupa pingamizi kesi ya kina Sabaya

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,830
21,460
Jana mawakili wa Sabaya na wenzake watano wameweka pingamizi la awali katika kesi ya rufaa waliyofunguliwa na Serikali.

Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imetupilia mbali pingamizi lililowekwa na mawakili wa utetezi katika kesi ya rufaa iliyofunguliwa na Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake watano.

Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano Desemba 14, 2022 na Jaji Salma Maghimbi ambaye anasikiliza shauri hilo, baada ya jana kusikiliza hoja za pande zote mbili. Jana mawakili wa Sabaya na wenzake watano wameweka pingamizi la awali katika kesi ya rufaa waliyofunguliwa na Serikali.
 
Huyu kijana ni mjinga, alijifanya yeye ni zaidi ya CCM, wacha wamkaange mjinga mkubwa - na wa kumwokoa kwa sasa ni Mama Samia tu, kashatuma wajumbe ila mama kakomaa na yeye - kijana kubaka wake za watu kweli? kuchukua hela za wastaafu tena wa JWTZ- MPUMBAFU SANA wacha wanyooshe.
 
huyu kijana ni mjinga, alijifanya yeye ni zaidi ya CCM, wacha wamkaange mjinga mkubwa - na wa kumwokoa kwa sasa ni Mama Samia tu, kashatuma wajumbe ila mama kakomaa na yeye - kijana kubaka wake za watu kweli? kuchukua hela za wastaafu tena wa JWTZ- MPUMBAFU SANA wacha wanyooshe.
 
Gaidi anaachiwa alafu Sabaya mtetezi wa wanyonge anateswa bure tu
 
Jana mawakili wa Sabaya na wenzake watano wameweka pingamizi la awali katika kesi ya rufaa waliyofunguliwa na Serikali.

Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imetupilia mbali pingamizi lililowekwa na mawakili wa utetezi katika kesi ya rufaa iliyofunguliwa na Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake watano.

Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano Desemba 14, 2022 na Jaji Salma Maghimbi ambaye anasikiliza shauri hilo, baada ya jana kusikiliza hoja za pande zote mbili. Jana mawakili wa Sabaya na wenzake watano wameweka pingamizi la awali katika kesi ya rufaa waliyofunguliwa na Serikali.

Huyo wakili wa Sabaya naye anapoteza muda tu. Wameambiwa kesi ya rufaa itasikilizwa kwa siku tano tu. Wao wanaleta mapingamizi wakati Kuna time limit.
 
Ninaomba unieleweshe, iwapo serikali itashinda hii rufaa , ni nini hatima ya Sabaya?

Kwanza, ile hukumu ya awali kwenye mahakama ya mkoa itatekelezwa.

Pili, Kuna uwezekano kifungo alichofungwa kikaongezwa na mahakama ya kuu ya Tanzania

Tatu, Sabaya anaouwezo wa kukata rufaa kwenye mahakama ya mwisho Yani Mahakama ya Rufaa ya Tanzania.

Nne, iwapo mahakama ya Rufaa itampata ana hatia Basi Sabaya ana nafasi ya mwisho ya kuomba Revision kwenye mahakama ya Rufaa Tanzania. Hiyo ndio mwisho.

Tano, iwapo revision ya mahakama ya Rufaa itakuta hukumu ilikuwa sahihi, Basi Sabaya itabidi asibili msamaha wanrais presidential pardon.
 
Gaidi anaachiwa alafu Sabaya mtetezi wa wanyonge anateswa bure tu
Mkuu CCM ni zaidi ya uijuavyo, amejitahidi kutuma watu kule Dodoma wakati wa mkutano imeshindikana. wacha wamkaanga mshenzi tu, huu ni ujumbe kwa vijana wa CCM wakipewa madaraka wajiheshimu.

Nchi hii ni mwenyekiti wa CCM ndiye mwenye hati miliki, babake alivyokufa tu dogo akayakanyaga tena mabichi.
 
kuna mzee wa CDM alikuwa anakaliswa kwenye mbao la misumari ya nchi mbili, matako yote yamelowa damu dadadeq....anakaa afu anasimama misumari inachoma inachomoka....

dogo msengeee.....
Katika kitu ambacho nimempa rais Samia kongele ni hiki cha kutaka sheria ichukuwe mkondo. Ukielezwa madhambi huyu Sabaya utaona kama amepewa fadhila kuwa hai mpaka sasa hivi. Ndiyo maana bado huwa naona Magufuli kama alikuwa na kasoro kwenye kichwa chake kwa sababu alikuwa na taarifa juu ya yote yaliyokuwa yanatendeka.
 
Ninaomba unieleweshe, iwapo serikali itashinda hii rufaa , ni nini hatima ya Sabaya?
Ataendelea na kifungo cha miaka 30 jela, akisubiri kuongezewa m8ngine kwa ule uhayawani wake alioufanya kule Hai.

Kati ya mambo mema ambayo utawala wa Samia umefanya ni kuyawajibisha majambazi yaliyokuwa yanatumia ofisi za umma kutekeleza ushetani wao. Bado Makonda.

Kwa ushetani alioutenda, Sabaya ni haki yake kufungwa maisha.
 
Back
Top Bottom