Ukiwachambua Viongozi wa Dunia hii falsafa na Tabia Zao lazima ziangukie kwa mmoja Kati ya Kaisari Agusto, Mfalme Herode au Gavana Pontio Pilato
Nitaleta kwenu historia Zao ila kwa wasiomjua...
Nikiri tu kuwa mimi nimezaliwa kwenye jamii zenye zinazodumisha mila zetu za asili(matambiko nisehemu ya maisha yetu).
Bibi yangu na babu yangu wapo vizuri.
Waliwahi kuniambia kuwa hakuna kazi...
Rais Kikwete alirudisha hela tuliyopigwa kwenye ununuzi wa rada na hela hiyo ikapelekwa kununua madawati.
Rais Magufuli alirudisha dhahabu iliyokuwa imefichwa Kenya kwa miaka mingi.
Rais Samia...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na Kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani hapa Nchini Tanzania Mhe. Michael Battle, katika Ofisi...
Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba amesema ukiona Chama cha upinzani kinamualika Mwenyekiti wa CCM kwenye vikao vyake kama Mgeni Rasmi ujue hicho siyo chama cha upinzani tena.
Elewa kwamba hicho ni...
Tatizo la Mgao wa Umeme limekuwepo kwa muda mrefu sana, Toka enzi za Nyerere, na Sasa tatizo hilo linaendelea kuwepo , sisi watu wazima tumeona mgao Kwa Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa...
Kila nikiwa nasoma Uzi JF haiwezi kupita wiki nzima bila kuwekwa Uzi wa JPM, ni kwamba Magufuli alifanya mambo mazuri sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka?
Ama alifanya ya ovyo Sana Kwa...
Kuna mzee mmoja alikuwa na nyumba mbovumbovu mitaa ya kariakoo mtaa wa Congo mkabala na ilipokuwa Club ya Nyota Nyekundu,tuliozaliwa mjini miaka hiyo tunapaelewa.
Yule mzee majirani zake waliuza...
Watoto wa taifa hili ni vijana wa kesho hivyo vijana wa leo ni viongozi wa leo na kesho..Tutafakari hulka Za vijana wa kesho je pasipo kufinyangwa vema wataweza kumlea vema mama Tanzania?
Pamoja...
Kwa Bahati wengine mpaka sasa kwa sehemu tumebahatika kuona Marais wote baada ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kung'atuka madarakani. Wengine tumepata bahati kufanya uchaguzi kuanzia enzi...
Bilion 3 zimeipa kiwewe CHADEMA, huko ndani hakukaliki. Watu wanapishana tu koridoni, kila mtu kageuka chawa wa mwenyekiti. Kila mtu anataka kulamba kidogo.
Hizi pesa CHADEMA mlizopewa mnapaswa...
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma Mhe Mariam Ditopile amemtaka aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ajitokeze aombe radhi...
Pale Mwembeyanga ikatolewa orodha ya Mafisadi wa CCM na Uongozi mzima wa Chadema Mbowe, Dkt. Slaa, Lisu nk wakalaani vikali.
Miongoni mwa waliotajwa kama vinara ni pamoja na mzee Lowassa ambaye...
Hapo juu ni Jengo la kisasa la Makumbusho ya Hayati Magufuli likiwa katika hatua za mwisho kwa kukamilishwa kwake.
Mapema leo, Rais Samia ametembelea na kukagua ujenzi wa Makumbusho lile/hayo ili...
Wasalaam,
Nimetokea ghafla kumkumbuka sana huyu komredi wangu wa ukweli mzee wa "Piga Tuu"
Huyu ndugu yangu baada tu ya kuisha kwa uchaguzi na awamu hii ya tano kuingia madarakani tumekuwa...
Aliyekuwa diwani wa Njombe na wenzake mpaka tunavyoandika hapa angali bado yuko jela kwa tuhuma za uongo za mauaji.
Kijana huyu na wenzake watatu walikamatwa kabla ya Uchaguzi wa 2020 kwa amri...
Kauli ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuhusu nia ya chama hicho kutoshirikiana na vyama vingine imezua mjadala kwa baadhi ya vyama vya siasa huku baadhi vikidai inatokana na ushirika wa...
Kuna mtazamo duniani kuwa wasio na kazi ya kipato ndiyo hutengeneza hadhira kwa wanasiasa majukwaani na pia hufanyika ama wateja au abiria wa difenda na karandinga.
Umaskini wa kipato unakwaza...
Nitumie fursa hii kuwapa wasiojua utawala wa CHADEMA ulivyoanza kabla ya Mbowe na uhusiano wa viongozi wake.
Mtei
Ni muanzilishi na Mwenyekiti wa kwanza wa CHADEMA, alikuwa gavana mkuu wa benki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.