Ni nani analazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CHADEMA?

Naona kimeibuka kikundi cha watu wanaolalamika kuwa mikutano ya CHADEMA inawapotezea watu muda wa kufanya kazi.

Wapo wengine wanasema hiyo mikutano haina tija na ni upotevu wa hela za wananchi.

Lakini kuna mtu analazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CHADEMA bila ya hiyari yake?
Wachawi wakishazoea kubugia nyama za binadamu ni shida.Hata wapewe nini hawatotaka.Walishazoea kuona damu za watu,huzuni na sintofahamu nyingi.Wanapenda kurudi walipokuwa.Devils!
 
kwa hali hii unakosaje ?

FB_IMG_1677688856429.jpg
 
Naona kimeibuka kikundi cha watu wanaolalamika kuwa mikutano ya CHADEMA inawapotezea watu muda wa kufanya kazi.

Wapo wengine wanasema hiyo mikutano haina tija na ni upotevu wa hela za wananchi.

Lakini kuna mtu analazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CHADEMA bila ya hiyari yake?
Kwa kweli hakuna anayelazimishwa na hao wanaolalamikia mikutano ya Chadema ni wajinga tuu kwasababu wanatishwa na nyomi!.
Wajinga hao hawajui nyomi ni nyomi na kura ni kura!, ingekuwa hizo nyomi ni kura, hapo ndio wangetishika!.
Just imagine nyomi kama hizi

LOWASA 2.jpg
LOWASA 3.jpg
CHADEMA MWANZA (7).JPG
CHADEMA MWANZA (6).JPG
CHADEMA MWANZA (3).JPG
CHADEMA MWANZA (2).JPG
CHADEMA MWANZA (4).JPG
222.jpg
99.jpg

, mimi niliamini Elections 2015 - Hii 'Vox Populi' ni 'Vox Dei' Kuhusu 'Jiwe Walilolikataa Waashi'? kumbe ni nyomi tuu!, hizo sio kura!.
P
 
Naona kimeibuka kikundi cha watu wanaolalamika kuwa mikutano ya CHADEMA inawapotezea watu muda wa kufanya kazi.

Wapo wengine wanasema hiyo mikutano haina tija na ni upotevu wa hela za wananchi.

Lakini kuna mtu analazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CHADEMA bila ya hiyari yake?
Ukiona mtu anasema hivyo jua kuwa ni mnafiki na mnufaika wa maovu yote yaliyofanyika wakati wa Awamu ya tano.
 
Naona kimeibuka kikundi cha watu wanaolalamika kuwa mikutano ya CHADEMA inawapotezea watu muda wa kufanya kazi.

Wapo wengine wanasema hiyo mikutano haina tija na ni upotevu wa hela za wananchi.

Lakini kuna mtu analazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CHADEMA bila ya hiyari yake?
Wachawi wakishazoea kubugia nyama za binadamu ni shida.Hata wapewe nini hawatotaka.Walishazoea kuona damu za watu,huzuni na sintofahamu nyingi.Wanapenda kurudi walipokuwa.Devils!
Hizo kombati na joto hili fangas zinastawi tu
Wewe ulishapona fungus zako?
 
Naona kimeibuka kikundi cha watu wanaolalamika kuwa mikutano ya CHADEMA inawapotezea watu muda wa kufanya kazi.

Wapo wengine wanasema hiyo mikutano haina tija na ni upotevu wa hela za wananchi.

Lakini kuna mtu analazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CHADEMA bila ya hiyari yake?
ukiona mtu analeta hoja ya namna hio jua huyo ni sukuma gang au uvccm maana hao ndio wapumbavu pekee waliobaki nchi hii hao wakitoweka hakutakuwa na wapumbavu tena nchi hii ila usiwe na hofu kufikia 2025 tunaenda kuwafuta kabisa.
 
Kwani chadema bado IPO? Mbona tuliambiwa chadema haipo na ilisha kufa .
Kwani Chadema ile uliyoambiwa itakufa ingeweza kumualika Mwenyekiti wa Ccm kuwa Mgeni wa Heshma kwny shughuli za Chama Chao na Mwenyekiti huyo akajinadi kuwania Urais 2025 huku akiwaambia hajaona mtu serious wa kupambana nae nao wakawa wanashangilia ?

Chadema ya maridhiano ni kama ACT tu kule Visiwani mkwara Zito sana jioni wanahesabu mgao wa maridhiano
 
Na mmekwisha wote sukuma gang.
 
Back
Top Bottom