ANAUPIGA MWINGI
JF-Expert Member
- Apr 14, 2022
- 388
- 757
Haya Mashirika yaani NGOs za kimataifa zinazo fanya kazi Tanzania zina mifumo dhabiti mno ya kudili na rushwa na kila aina ya Ufisadi. Hata kama bado ufisadi unakuwepo ila ni kwa kiwango cha chini mno.Policy zao ni Balaaa unaweza jikuta Offisi nzima hadi mfagiaji mnapigwa chini.
Nakumbuka kuna NGOs moja nilikuwa nafanya nayo kazi, sasa ilikuwa na Policy ya collective punishment kwenywe swala na matumizi mbaya ya pesa za Miradi.
Sasa nakumbuka tulikuwa na Project Mkoa fulani na ikatokea upigaji wa Pesa, pesa alipiga Menejea na Muhasibu lakini Fagio lilipitia hadi Mlinzi, Dereva, mfanya usafi, Sitasahau siku hio. Kosa tu ni kwamba tulikuwa na fununu za upigaji tukakaa kimya.
Ogopa offisi nzima tuliondolewa na wakaajili upya kuanzia mfanya usafi hadi Mlinzi.
Hio Policy stafu walikuwa wanaigopa kuliko ukoma na walio bakia kwenye miradi mingine walikuwa ilikujiweka sehemu salama walikuwa wakisikia tu fununu yaani fununu lazima wa report. ilikuwa ni bora ulipoti fununu na Mkaguzi aje akute ni fununu kuliko kukaa kimya na fununu.
Sasa Serikalini, unakuta Idara au Taasisi, wanao piga pesa ni watu watatu na stafu wengine wanajua ila wanapiga kimya, Serikli ingekuja na collective punishment policy nina uhakika huko maofisini hapatakalika.
Hakuna atakaye kuwa tiayali kupoteza kazi yake kisa kulinda wengine.