Kila anayepinga ufisadi anaitwa Sukuma Gang. Je, hao wanaopambana kutetea ufisadi, wao ni nani?

yvegenc prymacov

JF-Expert Member
Jan 22, 2023
1,527
1,913
Salute, kwa sasa ktk mitandao ya kijamii,kila anayejaribu kulalamikia utawala uliopo kwa ufisadi ,anaitwa sukuma gang!

Anayelalamika ugumu wa maisha na kupanda bei kwa vitu ni Sukuma gang,!

Anayelalamika serikali kutowajibija anaitw sukuma gang!

Wanaitwa sukuma gang kwa kuamini kuwa ni wafuasi wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati John pombe magufuli, kwa sababu jpm kupinga ufisadi, uzembe kazini,rushwa,na kutokuwajibika,ndio ilikuwa kazi yake.

Je, hawa wanawaita wenzao sukuma gang,je wao ni nani? Wanawakilisha kundi gani?

Karibuni, mapovu na matusi kwa wasio na hekima RUKSA.
 
Mlijifanya miungu watu na kudharau makabila mengine tz hiyo dhambi haitatoka kwenu

Yule alikuwa anaweka kabila lake kila kona nao wakafurahi wasijue anawachimbia kaburi refu sana

Aibu itawakaa milele
Kwa upumbavu wako wewe unaamini kila anayepinga ufisadi ni msukuma?, kila mfuasi wa jpm ni msukuma?!, NINAMASHAKA,DISH LIMEYUMBA,
 
Salute,kwa sasa ktk mitandao ya kijamii,kila anayejaribu kulalamikia utawala uliopo kwa ufisadi ,anaitwa sukuma gang,!

Anayelalamika ugumu wa maisha na kupanda bei kwa vitu ni Sukima gang...
Nani alikudanganya kuwa sukuma gang ni wanaopinga ufisadi?! Hao ndo walikuwa vinara wa ufisadi kupitia plea bargain, ununuzi wa cash, ujenzi wa miundombinu, kupeana teuzi Serikali Na chamani kikanda n.k.

Kwa taarifa yako sukuma gang ni kundi lililokuwa limejipanga kuunda ukanda kwa kutumia ukabila chini ya Kiongozi wao yule. Wakapanga yule ndo awe Rais wa wa milele Wa nchi hii.

Sasa wamebaki kumtetea huyo mtu wao wakilazimisha kitu inaitwa legacy. Wananchi tumekataa.
 
Na kila anayempinga magufili mnamwita fisadi vyeti feki nk hivyo kaeni kwa kutulia
 
Nani alikudanganya kuwa sukuma gang ni wanaopinga ufisadi?! Hao ndo walikuwa vinara wa ufisadi kupitia plea bargain, ununuzi wa cash, ujenzi wa miundombinu, kupeana teuzi Serikali Na chamani kikanda n.k
Kwa taarifa yako sukuma gang ni kundi lililokuwa limejipanga kuunda ukanda kwa kutumia ukabila chini ya Kiongozi wao yule. Wakapanga yule ndo awe Rais wa wa milele Wa nchi hii.
Sasa wamebaki kumtetea huyo mtu wao wakilazimisha kitu inaitwa legacy. Wananchi tumekataa.
UTU WA MTU NI BUSARA ZAKE NA UJINGA KWAKE NI HASARA,

PLEA BARGAIN NI PROPOGANDA ZA KIJINGA, TOKA HUO UFASADI UMEIBULIWA,HATUA GANI ZIMECHULiWA?

KIPINDI JPM NDIO KAFA,KUNA PROPAGANDA ZILIANZISHWA,KUWA KIPINDI JPM ANAIMWA,KUNA MABILIONI YA PESA YALITOTOSHWA,IKAUNDWA NA TUME,UNAYAJUA MAJIBU YA UCHUNGUZI WA TUME?
 
Umepanic Hadi umeanza kuandika kwa herufi kubwa. Hatudanganyiki!
 
UTU WA MTU NI BUSARA ZAKE NA UJINGA KWAKE NI HASARA,

PLEA BARGAIN NI PROPOGANDA ZA KIJINGA, TOKA HUO UFASADI UMEIBULIWA,HATUA GANI ZIMECHULiWA?

KIPINDI JPM NDIO KAFA,KUNA PROPAGANDA ZILIANZISHWA,KUWA KIPINDI JPM ANAIMWA,KUNA MABILIONI YA PESA YALITOTOSHWA,IKAUNDWA NA TUME,UNAYAJUA MAJIBU YA UCHUNGUZI WA TUME?
Unawezaje kutoa kashfa wakati yeye si msafi na hana uvumulivu hata kidogo
 
Na ukisikika unasema serikali yake unapotezwa

Watu wakanyamaza lakini hata alipoondoka yalifumuka mambo mangapi
 
Salute, kwa sasa ktk mitandao ya kijamii,kila anayejaribu kulalamikia utawala uliopo kwa ufisadi ,anaitwa sukuma gang!

Anayelalamika ugumu wa maisha na kupanda bei kwa vitu ni Sukuma gang,!

Anayelalamika serikali kutowajibija anaitw sukuma gang!

Wanaitwa sukuma gang kwa kuamini kuwa ni wafuasi wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati John pombe magufuli, kwa sababu jpm kupinga ufisadi, uzembe kazini,rushwa,na kutokuwajibika,ndio ilikuwa kazi yake.

Je, hawa wanawaita wenzao sukuma gang,je wao ni nani? Wanawakilisha kundi gani?

Karibuni, mapovu na matusi kwa wasio na hekima RUKSA.
Utawala wetu ni nan alipinga ufisadi kwa vitendo? Never!! Watu walikuja kwa pigo za uzalendo lkn upigaj ulikuepo san ni vile vyombo vya hbr na raia waliogopa ukisema unapewa uhujumu uchumi!! Lkn upigaj upo mpaka sasa na huo ndio ukweriii!! Hakuna msafi!!
 
Cha kushangaza wanatetea ugisadi ni chawa wa chadema kutwa kuita wenzao sukuma gang
 
  • Thanks
Reactions: nao
Salute, kwa sasa ktk mitandao ya kijamii,kila anayejaribu kulalamikia utawala uliopo kwa ufisadi ,anaitwa sukuma gang!

Anayelalamika ugumu wa maisha na kupanda bei kwa vitu ni Sukuma gang,!

Anayelalamika serikali kutowajibija anaitw sukuma gang!

Wanaitwa sukuma gang kwa kuamini kuwa ni wafuasi wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati John pombe magufuli, kwa sababu jpm kupinga ufisadi, uzembe kazini,rushwa,na kutokuwajibika,ndio ilikuwa kazi yake.

Je, hawa wanawaita wenzao sukuma gang,je wao ni nani? Wanawakilisha kundi gani?

Karibuni, mapovu na matusi kwa wasio na hekima RUKSA.
Unao uhakika upi kwamba awamu ya tano haikuwa na ufisadi?. Awamu ya tano iliundwa na CCM kama awamu nyingine.
 
Back
Top Bottom