Siasa za maandamano zinataka kuchukua nafasi ya uchaguzi

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,222
5,946
Kenya, Afrika Kusini, Nigeria, na Tunisia kuna maandamano yanayoongozwa na wanasiasa walioshindwa katika uchaguzi. Hii inaashiria kuwa hatuna wanasiasa ambao wanakubali kushindwa katika uchaguzi;ikitokea wanashindwa wanahamia kwenye maandamano na kuhujumu utendaji wa serikali zilizoshinda na kupata nafasi ya kuongoza.

----
Countries in the four cardinal points of Africa witnessed much tumult today (March 20).

Angry citizens of Kenya in the east, South Africa in the south, Nigeria in the west, and Tunisia in the north—with a combined population of 343 million— protested against the high cost of living, seeking constitutional reforms.

Led by opposition leaders, they took to the streets, calling out their respective president’s inaction to address economic and political hurdles bedevilling their countries.

Julius Malema, the leader of South Africa’s Economic Freedom Fighters (EFF) party, led citizens in various cities to push for president Cyril Ramaphosa’s resignation following an endless cycle of economic crises facing the country.

South Africans are suffering​

Even before the protests began, at least 87 people had been arrested across the country for alleged public violence. The police and soldiers have been deployed to prevent criminal activity and maintain public order.

South Africans have faced a prolonged economic downturn with no hope of recovery under president Ramaphosa’s regime. The country of 59 million is battling a critical energy crisis. Analysts say it could lose $13 billion due to load shedding alone this year.

Kenyans are angry their “hustler” president lied to them​

Kenya’s opposition leader, Raila Odinga, who lost in the last general elections, led demonstrations today against what he deemed a deliberate increase in the cost of living, caused by new taxes and an inability to control inflation. Many Kenyans have accused president William Ruto of emptying the pockets of the poor.

“We elected him to bring down the cost of living, but he is making life and business difficult for everyone. He lied to us that once he’s sworn in, life would be bearable,” Rodgers Kimutai, a small-scale trader in the capital Nairobi told Quartz. “He claimed to be a hustler like us, but he has pushed us further down than before.”

Odinga still claims he won the presidential race last August, maintaining that he will never acknowledge Ruto as a legitimate president. He has called for a reinstatement of the four commissioners sacked by Ruto’s government from the electoral body.

Despite being deemed illegal, the demonstrations continued as planned in the country of 53 million with running battles in the capital and in Kisumu, the western lakeside city and Odinga’s political backyard.

Kenya’s currency has been in a “free-fall” since the start of the year, with an acute dollar shortage jacking up fuel prices and the cost of production.

Nigerians have low confidence in Tinubu’s administration​

Nigeria has been in a churn since the declaration of veteran politician Bola Tinubu as president in February. The opposition has alleged irregularities in the elections that led to Tinubu’s ascension.

The main opposition party candidates, Atiku Abubakar and Peter Obi, have led protests against both, the polls and the rising cost of living in the west African nation of 219 million.

Nigerians have had it rough with a depreciating currency, inflation, insecurity, and a rise in the cost of living. Many fear that not much will change as long as former president Muhammadu Buhari’s party remains in power.

Tunisians accuse their president of grabbing power​

Thousands of Tunisians rallied in the streets of the capital Tunis today, protesting president Kais Saied’s perceived autocratic rule.

They want Saied to resign for orchestrating what they feel was a coup last July, pushing for unpopular constitutional amendments.

They accuse him of cracking down on dissenting politicians, labor union figures, judges, a prominent businessman and the head of an independent radio station. Angry demonstrations have been organized in the nation of 12 million, mostly by the Islamist Ennahdha party and a movement calling itself “Citizens Against the Coup.”

Source: Protests against government policies are roiling all four corners of Africa
 
Baada ya Ruto kupinga ushoga kwa kujifichia kwenye kivuli cha mahakamani huku akiwa tayari ashalamba pesa za mashoga, naona wamemuinulia Odinga, kwa kumuonyesha saver ya mchakato mzima wa wizi wa kura, mashoga wapo nyuma ya Odinga kuhakikisha Ruto anatoka madarakani Ili Odinga achukue waruhushu ushoga Kenya.

Odinga kula pesa zao ukishapata tu kiti jifichie kwenye mahakama kuukataa ushoga utaleta laana Kenya.
Chaguo la mabeberu lilikuwa ni Odinga sema walizidiwa ujanja
 
Maandamano ni sehemu ya namna ya kufikisha ujembe kwa serikali kwa wenye mamlaka kutoka kwa wenye nchi.
Iwapo imeandikwa kwenye katiba ambayo ni sheria mama, basi hakuna sehemu wamevunja utaratibu.

Kumbuka ukishaingia kwenye system ya Majority rule minority right uwezi kuepuka maandamano...popote pale Duniani.
 
Waandamane tu, ila odinga haingii ikulu.

Btw, hivi hawa watu wa kuandamana uwa wanawatoa wapi aisee!
 
Maandamano ni sehemu ya namna ya kufikisha ujembe kwa serikali kwa wenye mamlaka kutoka kwa wenye nchi.
Iwapo imeandikwa kwenye katiba ambayo ni sheria mama, basi hakuna sehemu wamevunja utaratibu.

Kumbuka ukishaingia kwenye system ya Majority rule minority right uwezi kuepuka maandamano...popote pale Duniani.
wakati huu Bunge na mabaraza mengine ya uwakilishi li (ya) nakuwa na kazi gani sasa?
 
wakati huu Bunge na mabaraza mengine ya uwakilishi li (ya) nakuwa na kazi gani sasa?
Nimekuuliza kuna sheria wamevunja? Unakumbuka Kanisani Mh. Ruto alimuliza Mh. Raila kuwa aseme anataka kuandamana kuanzia lini hadi lini ili ampatie ulinzi wa uhakika? Ata ikibidi anawashauri waandamane asubuhi na jioni kila siku yeye ameshaongea na waziri wa Ulinzi ili awape ulinzi wa kutosha.

Niliona zilezile dharau za viongozi wa kiAfrika ambao wakishapata kula kwa wananchi wanaanza kuwaletea viburi.
Alikosa uongozi wa namna ya kuzungumzia suala ya maandamano ki Diplomasia zaidi akidhani kuwa hawezi kutolewa madarakani na waandamani ilhali kuna watawala waliokwisha ondolewa madarakani yeye akiwa mtu mzima kabisa.
 
Baada ya Ruto kupinga ushoga kwa kujifichia kwenye kivuli cha mahakamani huku akiwa tayari ashalamba pesa za mashoga, naona wamemuinulia Odinga, kwa kumuonyesha saver ya mchakato mzima wa wizi wa kura, mashoga wapo nyuma ya Odinga kuhakikisha Ruto anatoka madarakani Ili Odinga achukue waruhushu ushoga Kenya.

Odinga kula pesa zao ukishapata tu kiti jifichie kwenye mahakama kuukataa ushoga utaleta laana Kenya.
Chaguo la mabeberu lilikuwa ni Odinga sema walizidiwa ujanja
Watu kama nyie hamkosekanagi
 
Nimekuuliza kuna sheria wamevunja? Unakumbuka Kanisani Mh. Ruto alimuliza Mh. Raila kuwa aseme anataka kuandamana kuanzia lini hadi lini ili ampatie ulinzi wa uhakika? Ata ikibidi anawashauri waandamane asubuhi na jioni kila siku yeye ameshaongea na waziri wa Ulinzi ili awape ulinzi wa kutosha.

Niliona zilezile dharau za viongozi wa kiAfrika ambao wakishapata kula kwa wananchi wanaanza kuwaletea viburi.
Alikosa uongozi wa namna ya kuzungumzia suala ya maandamano ki Diplomasia zaidi akidhani kuwa hawezi kutolewa madarakani na waandamani ilhali kuna watawala waliokwisha ondolewa madarakani yeye akiwa mtu mzima kabisa.
Nakuelewa- sijui kwa matzamo wako waandamanaji wanategemea kufanikiwa na mafanikio yao ni iwe kmtoa tu Ruto Ikulu?! Tatizo litakuwa limeisha si ndicho unachojaribu kutueleza?
 
Nakuelewa- sijui kwa matzamo wako waandamanaji wanategemea kufanikiwa na mafanikio yao ni iwe kmtoa tu Ruto Ikulu?! Tatizo litakuwa limeisha si ndicho unachojaribu kutueleza?
Matatizo huwa hayaishi...akikataa kutekeleza maombi yao wakati yapo ndani ya uwezo wa serikali then inatakiwa aondoke ikulu...atakaekuja Ikulu nae asipoyatekelezwa itabidi afurushwe tu.

Nakumbuka zamani hizo nikiwa A Level Mwl Mkuu alikataa gari ya shule (Lory) isitupeleke kwenye michezo wakati gari nzima na mafuta yapo...ilibidi gari ichomwe moto make haikuwa na msaada pia.

Watu wakarudishwa nyumbani baada ya miezi mitatu tuliporudi then tukaandamana kuwa Mwl Mkuu aondolewe...tukarudishwa nyimbani...baada ya miezi minne tuliporudi tukaendelea na mgomo na maandamano juu Mkuu wa Wilaya na Mwl Mkuu waondolewe.

Mwisho wa siku waliondolewa na maisha yakaendelea kama Kawa japo shida hazikuisha zote.
 
Huu ni ujinga na sioni mtu wa kufanya hayo na hii picha hapo chini inaonyesha maana ya maandamano ambayo ninaiamini- fursa ya watu kupora mali za wengine
Frq7OSGWYAEKGNt
 
Back
Top Bottom