Miaka miwili ya Rais Samia, amefanikiwa kufanya ziara nje na ndani ya nchi ila ameshindwa kuingia gerezani KUKUTANA na wafungwa wa namna hii

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Rais naomba nisianze Kwa kukupongeza Kwa kazi unazozifanya maana Mimi ni miongoni MWA watu wachache tunao amini yakuwa hakuna Rais wa nchi anae ingia ikulu Kwa ajili ya kucheza" mdundiko ngoma ya Ukae"

Mh Rais naomba nianze Kwa kweli kushukuru Mwenyezi Mungu anae tupa pumzi,na uhai mimi na wewe Ili tuweze timiza wajibu wetu, na tunapo timiza wajibu hakika tunabarikiwa hakika baraka za Mwenyezi Mungu zizidi kumimika kwangu na kwako pia!

Mh Rais kitabu Cha siku 365 hakika umekifunga vyema na wannadami SIE TUNAPENDA mema na mazuri ndio maana siku Ile ulipotimiza miaka miwili kwenye madaraka ilifana sana kuliko Ile ya Mwendazake kuondoka ndani ya miaka miwili binafsi nilishuhudia Tweeter Yako, pamoja na Askofu mstafu Pengo akizuru kaburi la Mwendazake Kwa Dua.

Hii inanipa ukakasi kidgo yaani siku ya kifo Cha Magufuli hata hotuba zake hazisikiki Tena, inshara hii sio njema yapo mazuri aliyafanya inafaa aenziwe Moja na kubwa kuliko yote ni kukuamini wewe uwe mgombea mwenza wake, na Sasa u Rais Kwa mujibu wa katiba yetu.

Niungane na wewe tafadhali siku moja kabla ya wewe kuwa Rais yeye aliaga Dunia vyema siku hiyo ikumbukwe na vyombo vya habari vifanye kazi yake.

Nisiandike mengi nikakuchosha.

Mh Raisi, mie kijana wako ni miongoni mwa vijana nilie niajipiza kubadili Imani mbaya niliyokutana nayo miongoni mwa WANANCHI wengi kidogo nchini Tanzania yakuwa kazi za Polisi ni kazi zilizo Jana laana!na ni kazi ya laana! Hakika Mimi nilitamani hii kauli ifutike Kwa kusema ukweli wa huovu unao tendwa na baadhi ya Watumishi wa jeshi Ili either Kwa njia ya kificho au Kwa njia ya wazi na kwa Ili nashukuru hadhima yangu hii imeanza kuzaa matunda kupitia mtandao wetu pendwa wa Jamii forum hakika tunao utumia vyema ujumbe UNAFIKA kunako na hatua zinachukulika haraka.

Katika Ili nalo niruhusu nimpongeze mkuu wa jeshi la polisi,mkuu wa jeshi la polisi mkoa wa Kilimanjaro alitekuwepo Huyu wa Sasa(ajichunguze), na RCO Huyu kijana anajua anachokifanya na anastaili pongezi ombi langu kwake apunguze ziara kidogo za kusaka wahalifu, aongeze ziara za kwenye vituo vya polisi mkoa wa Kilimanjaro Kwa kushutukiza atakutana na vihoja vya wahalifu wengi walioko kwenye vituo sio wahalifu na badala yake. Wahalifu wako mtaani na walioko humo ambao ni wahalifu hawapewi HAKI zao Kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi yetu.(mnyonge mnyongeni HAKI zake mpeni RCO Sina jambo na wewe hakika you deserve "HEKO"

Mh Rais miaka miwili Yako umetembea Kila Kona ya Tanzania tumekuona SIE tulio nje ya Kuta za sero na magereza ninae kuandikia sio mfungwa la hasha ila nimewiwa niandike Ili baada ya KUKUTANA na jambo ambalo limeniskitisha sana na nikaona so vyema likae kifuani mwangu maana yawezekana habari za Huyu zikawa ni daraja kubwa Kwa wengine kupata HAKI zao.

Mh Rais siku ya Jana mie kijana wako nikiwa mkoani Tabora Wilaya ya nzega,nikili wazi nilifata tubiashara twangu tea mbao nitoe hapo nzega nipeleke Dar nikawapige wazaramo mtonyo, alikuja kijana mmoja yaani Juma kapipi ni jina lake original kabisa

Na maongezi yetu yakuwa kama ifatavyo!

Sifi Leo inakuaje mmwamba?(Juma kapipi alinisalimu)
Sifi Leo fresh tu vipi wewe?poa aise.
Ebu nisaidie kitu kimoja mwamba wangu, Nina shida ya laki Tano mwamba tunafanyaje kamanda wangu?

Daaah!mwamba wakati huu wa mama Samia kweli unikute na Mia Tano mfukoni, hacha hizo any way ya Nini kwani?
Hahahah anacheka alafu ananipa stori kamili.

Sikiza bhana pale jirani kwetu, mwamba Kuna Mzee anauza shamba KUBWA sana la mwamba mmoja yupo jera KIFUNGO Cha maisha Kwa kosa la kukutwa na msokoto wa Bange, na mchizi ameisha Kaa jera miaka 6 anasota Sasa nasikia Mzee AMEPEWA mtonyo akitoa mia Tano yaani laki Tano mchizi anaachiwa.

Hahahaa hahaha kapipi stor zako bhana, we Kuna mtu anapigwa mvua ya mawe miaka 30 Kwa msokoto wa Bange?hahaha hacha fiks broo!(nashutuka na kuisi ananipanga kumbe kweli)

Sikiza sifi Leo, ninachokueleza ni kweli,sema Nini Huyu mwamba hapa kitaa alikuwa na mawe kidizaini siku AKAINGIA anga za msoja mmoja jina kapuni akagoma kumtoa mchizi akaruka nae mwishowe akampa kesi ya Mauaji, daaaaaa!Juma ngaza amekula msoto jera Kwa kesi ya kusingiZiwa na Mungu SIo sifileo dadeki naskia yule msoja aliyemuuzia kesi ya Mauaji nae Kadaja, maana yeye ndo alisimamia shoo mwanzo mwisho mpaka mchizi anapelekwa jera. Sasa Majita walio salia wanataka Mkono tu mwanangu mchizi atoke jera.

Sifi heheeeeeeeee!we nipe huo mkono na Mimi nimiliki aridhi nikifa nipate pa kuzikwa mwamba hachana na hizo mambo zako za kuniambia aridhi sio muhimu ndio maana mitume na manabii wa enzi hizo hawakuacha aridhi, ila wa Sasa Kila kukicha wanakusanya sadaka zetu na kununua mahekita na maheka. Ukunwakiandika majina Yao.

Mwanangu(sifi Leo anajibu).bmwamba mi nakupa huo mkono(laki Tano) sio kwa lengo ununue SHAMBA ila mi nataka nikupe umpe huyo Mzee akawape Majita walio salia wamtoe jera mwamba!

Hhahahahaa nshakushutukia dadeki we unataka ukisanue kudadeki unipe hela za moto Ili Mzee akiwapelekea Majita wadakwe staki Tena nilisaau yakuwa wewe ni INZI WA CHOONI.
Staki Tena ngoja niende kkwa mwamba wangu hasie na mbambamba mjini hapa nikamalize mchezo.

Bye bye sifi Leo ngoja niende Kwa Nzara anipe mtonyo nimiliki aridhi Kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake,we inzi wa CHOONI pambana na Hali yakooooooooooo!

Mchizi nimesikia tangu juzi Yuko huru SHAMBA ana Tena life goes on!

Mh Rais mi Mimi mwamba sifi Leo kiungo mkabaji niliyemsaidia Mwendazake henzi za uhai wake kumweleza File zilizo Jana ngiriba zilipokuwa hapo ikulu wakati huo nikiwa mpishi wa ugali aina ya nswekwe ugali mtamu pendwa uliopendwa na mkuu wa inZi wa CHOONI.
Fanya ziara magereza Kuna visa na Mikasa.
 
Huyo aende magerezani? Kwan JK aliwahi kwenda??.

Chochote ambacho JK alifanya ,Sa100 atafanya.


Mimi Huwa nawaza, hivi JPM asingefanya mambo haya makubwa ,nani angefanya??.


Hivi Mnajua miradi hii wanaendeleza sababu ya Aibu, wakiogopa ikisimama, wataonekanaje ??.
 
Ukituma ujumbe, usitume kama Riwaya, hakuna mtu anaelewa, maana umeandika tamthilia.
 
Back
Top Bottom