CCM itaendelea kutawala na kutawala!

CCM itaendelea kutawala na kutawala!

Hennes kolon

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
673
Reaction score
1,297
sababu...

1. Vyama pinzani vyote NI dhaifu

2. Viongozi wa vyama pinzani ni walamba asali wazuri.

3. Tanzania bado hatuna chama kikuu Cha upinzani ,hiki kinachojinasibu ni kikuu,ni upotoshaji.

4. Vyama vingi vya upinzani vimekaa kikabila ,na kiukanda,havizingatii umoja wa kitaifa.mf.chadema

5. Viongozi wengi wa vyama pinzani ni wabinafsi/wa roho wa madaraka na watu kujikweza Sana.

6. Walio wengi wanapambania matumbo yao na Mali zao ,na si dhana ya kuchukua dola.

Niwakumbushe, Mwal Nyerere alipoanza harakati za kuchukua dola kutoka kwa wa ingereza, kwanza alianza kutengeneza umoja wa kitaifa, alikataa ukabila/ukanda n.k, lkn pia CCM hii imepitia reform nyingi Sana. Kuna vichama vingi tu Mwalimu Nyerere alipambana na kuviunganisha Hadi leo hii tunaiita CCM.

Nyinyi vyama pinzani acheni kutupotezea muda wetu eti mnataka kuchukua dola [emoji1745][emoji1745]! kiurahisi hivi hivi. Msitupotezee muda wetu bhana. Jifunzeni kutoka kwa mwalimu Nyerere na harakati zake. Kinyume na hapo acheni kutupotezea muda wetu.

Hakuna Cha CHADEMA, Wala NCCR ,Wala sijui chauma, n.k walio na mwelekeo na ndoto za kuchukua dola .ni dhaifu, dhaifu, dhaifu.
 
sababu...

1. Vyama pinzani vyote NI dhaifu

2. Viongozi wa vyama pinzani ni walamba asali wazuri.

3. Tanzania bado hatuna chama kikuu Cha upinzani ,hiki kinachojinasibu ni kikuu,ni upotoshaji.
Unapotezewa muda kwani umelazimishwa kufuatilia mambo ya upinzani.

Sasa kama upinzani ni dhaifu si ndio mufurahi mtawale milele hili bandiko ni la nini kama si kutujazia [emoji706] kwenye sever
 
sababu...

1. Vyama pinzani vyote NI dhaifu

2. Viongozi wa vyama pinzani ni walamba asali wazuri.

3. Tanzania bado hatuna chama kikuu Cha upinzani ,hiki kinachojinasibu ni kikuu,ni upotoshaji.

4. Vyama vingi vya upinzani vimekaa kikabila ,na kiukanda,havizingatii umoja wa kitaifa.mf.chadema

5. Viongozi wengi wa vyama pinzani ni wabinafsi/wa roho wa madaraka na watu kujikweza Sana.

6. Walio wengi wanapambania matumbo yao na Mali zao ,na si dhana ya kuchukua dola.

Niwakumbushe, Mwal Nyerere alipoanza harakati za kuchukua dola kutoka kwa wa ingereza ,kwanza alianza kutengeneza umoja wa kitaifa ,alikataa ukabila/ukanda n.k,lkn pia ccm hii imepitia reform nyingi Sana ,Kuna vichama vingi tu Mwalimu Nyerere alipambana na kuviunganisha Hadi leo hii tunaiita CCM.

Nyinyi vyama pinzani acheni kutupotezea muda wetu eti mnataka kuchukua dola [emoji1745][emoji1745]!!!kiurahisi hivi hivi , Msitupotezee muda wetu bhana. Jifunzeni kutoka kwa mwalimu Nyerere na harakati zake. Kinyume na hapo acheni kutupotezea muda wetu.

Hakuna Cha CHADEMA, Wala NCCR ,Wala sijui chauma , n.k walio na mwelekeo na ndoto za kuchukua dola .ni dhaifu ,dhaifu ,dhaifu.
kwamba mwelekeo wa chadema unautambua wewe sukuma gang, jiandaeni 2025 mnaenda kufutika uso wa dunia hata udiwani mliozoea kupita bila kupingwa hamtauona.
 
Angalia kauli za wanaojiita wapinzani kwa sasa,wao na hayati Magufuli tu,maovu na wizi unaoendelea nchini kwa sasa hawauoni,wanalamba asali kwerikweri!

Kataa wahuni
wapumbavu mlipoambiwa muandamane kupinga wizi wa kura na enguaengua ya kishenzi iliyofanywa na Magufuli mlimwambia aandamane na watoto wake na nyinyi kufeni na njaa na mama zenu nyumbani kwenu mpaka muishe.
 
sababu...

1. Vyama pinzani vyote NI dhaifu

2. Viongozi wa vyama pinzani ni walamba asali wazuri.

3. Tanzania bado hatuna chama kikuu Cha upinzani ,hiki kinachojinasibu ni kikuu,ni upotoshaji.

4. Vyama vingi vya upinzani vimekaa kikabila ,na kiukanda,havizingatii umoja wa kitaifa.mf.chadema

5. Viongozi wengi wa vyama pinzani ni wabinafsi/wa roho wa madaraka na watu kujikweza Sana.

6. Walio wengi wanapambania matumbo yao na Mali zao ,na si dhana ya kuchukua dola.

Niwakumbushe, Mwal Nyerere alipoanza harakati za kuchukua dola kutoka kwa wa ingereza ,kwanza alianza kutengeneza umoja wa kitaifa ,alikataa ukabila/ukanda n.k,lkn pia ccm hii imepitia reform nyingi Sana ,Kuna vichama vingi tu Mwalimu Nyerere alipambana na kuviunganisha Hadi leo hii tunaiita CCM.

Nyinyi vyama pinzani acheni kutupotezea muda wetu eti mnataka kuchukua dola [emoji1745][emoji1745]!!!kiurahisi hivi hivi , Msitupotezee muda wetu bhana. Jifunzeni kutoka kwa mwalimu Nyerere na harakati zake. Kinyume na hapo acheni kutupotezea muda wetu.

Hakuna Cha CHADEMA, Wala NCCR ,Wala sijui chauma , n.k walio na mwelekeo na ndoto za kuchukua dola .ni dhaifu ,dhaifu ,dhaifu.

Mlipoambiwa na Lissu muandamane kupinga wizi wa kura na engua engua ya kishenzi iliyofanywa na Nduli Magufuli, mlimwambia aandamane na familia yake sasa. Nasema hivi, na wewe pamoja na washirika wenzio, andamana na mamako nyumbani kwenu kupinga ugumu wa maisha.
 
Angalia kauli za wanaojiita wapinzani kwa sasa,wao na hayati Magufuli tu,maovu na wizi unaoendelea nchini kwa sasa hawauoni,wanalamba asali kwerikweri!

Kataa wahuni
Yaani upinzani umegeuka kuwa kitu cha ajabu sana tangu wameruhusiwa kufanya mikutano wamegeuka kuwa watu wa kujipendekeza wamekuwa CCM B hawana hoja ya msingi zaidi ya kumponda MWAMBA wakati hayupo tena duniani
 
yani upinzani umegeuka kuwa kitu cha ajabu sana tangu wameruhusiwa kufanya mikutano wamegeuka kuwa watu wa kujipendekeza wamekuwa CCM B hawana hoja ya msingi zaidi ya kumponda MWAMBA wakati hayupo tena duniani
andamana na babako nyumbani kwenu ili ujinusuru maana lissu alipowambia kuandamana mlinwambia aandamane na watoto wake so na wewe andamana na mamako au babako ujinusuru na ugumu wa maisha.
 
mlipoambiwa na lissu muandamane kupinga wiz wa kura na engua engua ya kishenz iliyofanywa na nduli magufuli mlimwambia aandamane na familia yake SASA nasema hivi na wewe pamoja na washurika wenzio andamana na mamako nyumban kwenu kupinga ugumu wa maisha.
yalishapita hayo mnadai mlifungiwa mmefunguliwa cha kushangaza mmekuwa mazuzu hamna hoja mnajikombakomba tu na hoja hapa ni kwamba hamna upinzani sasa kama mmefunguliwa mko huru tunataka kuwaona sasa mkiwa wapinzani wa kweli na sio CCM B
 
andamana na babako nyumbani kwenu ili ujinusuru maana lissu alipowambia kuandamana mlinwambia aandamane na watoto wake so na wewe andamana na mamako au babako ujinusuru na ugumu wa maisha.
kwa hiyo umekubali kuwa chawa wa CCM si ndio

hamna mnachofanya tangu mmekuwa huru kazi yenu ni kuimba mapambio na kuiponda awamu ya 5 sasa subirini 2025 CCM ichukue kila kona sijui mtasema maridhiano au makubaliano mlivyo wajinga
 
yalishapita hayo mnadai mlifungiwa mmefunguliwa cha kushangaza mmekuwa mazuzu hamna hoja mnajikombakomba tu na hoja hapa ni kwamba hamna upinzani sasa kama mmefunguliwa mko huru tunataka kuwaona sasa mkiwa wapinzani wa kweli na sio CCM B
Kwamba wewe sukuma gang ndio unataka uone upinzani kuwa unahoja! yani sukuma gang ndio unaweza kupima hoja za upinzani! kwa lugha nyingine yani sukuma gang ndio kipimo cha hoja za upinzan! aliyewaita nguruwe hakukosea kabisa by the way upinzan wa nchi hii haukutegemei wewe sukuma gang cha msingi jiandaeni ikifika 2025 mnaenda kufutika kabisa hata udiwan mliozoea kupita bila kupingwa hampati wapuuz na wauwaji kama mbwa wenu wa chato nyinyi.
 
mtatoa macho hamtoamini kitakachowatokea maana itakuwa ni zaidi ya kupigwa na kitu kizito kichwani hamna jipya kwa sasa mnarukaruka tu kama bisi zinazokaangwa baada ya kukosa hoja mmekimbilia kwenye bodaboda na vicoba mtasaga lami nakwambia na bado
 
kwa hiyo umekubali kuwa chawa wa CCM si ndio

hamna mnachofanya tangu mmekuwa huru kazi yenu ni kuimba mapambio na kuiponda awamu ya 5 sasa subirini 2025 CCM ichukue kila kona sijui mtasema maridhiano au makubaliano mlivyo wajinga
Ni bora kuimba mapambia kuliko kupigania wapumbavu wasiojielewa, andamaneni mjipambanie na mama zenu maana lissu aliwambia muandamane mkamwambia aandamane na watoto wake so na nyinyi andamaneni na mamazenu.
 
Back
Top Bottom