Mbunge Sylvia Sigula: Rais Samia Umetuheshimisha

Mbunge Sylvia Sigula: Rais Samia Umetuheshimisha

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,429
MBUNGE MHE. SYLVIA FRANCIS SIGULA - "RAIS SAMIA UMETUHESHIMISHA"

Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania Mhe. Sylvia Francis Sigula katika maadhimisho ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani amesema "Rais Samia Umetuheshimisha"

"Hongera sana Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Sisi Wanawake tunajivunia wewe, umetupa heshima kubwa na kuamsha nguvu ya kufanya kazi kwetu Sisi wanawake. Tunakuombea kila lilo jema. Jeshi la Mama Miaka Miwili ya Kishindo, Asante kwa kutuheshimisha" - Mhe. Sylvia Francis Sigula

Pia, Mhe. Sylvia Sigula amepongeza ujio wa Ndege Mpya ya Mizigo ya Air Tanzania Cargo 767-300F 5H-TCO ambayo imepewa jina la Lake Tanganyika ikiwa kwenye majaribio kutoka KPAE -KMWH kabla ya kuwasili nchini hivi karibuni.

"Miaka miwili ya kishindo hakuna kilichosimama, hakika Mama unazidi kutuheshimisha wanawake. Ndege mpya ya mizigo katika majaribio wale wa ziwa Tanganyika sasa tumefikiwa Ndege imepewa Hilo" - Mhe. Sylvia Sigula.
WhatsApp Image 2023-03-21 at 23.59.20.jpeg
WhatsApp Image 2023-03-21 at 23.59.21.jpeg

#MiakaMiwiliYaMama
#TwigaCargo
#UmeandikaHistoriaSamia
#UWTImaraJeshiLaMama
#KaziIendelee
 
Back
Top Bottom