Zitto Kabwe anaposema tumetoka kwenye miaka 7 ya Giza anamaanisha nini? Yeye hakubaki bungeni na Magufuli?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,026
Siasa nyingine ni za kishamba, kishenzi na Unafiki uliopitiliza

Zitto Kabwe Wakati wenzake wanatoka bungeni yeye alibaki na alikumbatiana na Maguful

Wakati wenzake wanalalamikia ndege yeye alikuwa wa kwanza kupanda

Zitto Kabwe ndiye alimkabidhi Magufuli Ilani ya ACT wazalendo pamoja na Watendaji Wawili Anna na Prof Kitila

Kama kulikuwa na miaka 7 ya Giza basi Zitto Kabwe ndiye Giza lenyewe

Sabato Njema!
 
Yaani kweli kabisa!! Ila huyu jamaa ni aina ya watu kama wewe. Wote mna vijiba vya roho dhidi ya CHADEMA!!
 
Back
Top Bottom