2005 Mbowe hakuyakataa matokeo ya Urais tofauti na Dkt. Slaa, Lowasa na Lissu walipogombea!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,022
Tunakumbushana tu kama wapiga kura kule tulikotoka na tunakokwenda.

CHADEMA ilisimamisha mgombea Urais kwa mara ya kwanza mwaka 2005 na aliyegombea alikuwa mh. Mbowe na kwa busara za kiuongozi hakuwahi kulalamika kuibiwa kura.

2010 Dkt. Slaa alidai yeye ndio alishinda lakini kura zake zimechakachuliwa.

2015 vilevile Mzee Lowassa alilalamika sana kuibiwa kura.

Kadhalika 2020 ndugu yetu Tundu Lissu alidai kuibiwa kura zake kwa sababu hakuna idadi ya kura za vituoni bali ilionyeshwa jumla kuu tu.

Mlale unono!
 
Back
Top Bottom