Je, unafikiri hizi treni za SGR ndo zenyewe au tumepigwa tena?

Kosinde

Member
Jun 7, 2018
49
60
*Ni yale yanayotengenezwa nchini Korea Kusini kwa ajili ya SGR

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maendeleo na kasi ya ujenzi wa mabehewa mapya kwa ajili Reli ya Kisasa (SGR) ya Shirika la Reli Tanzania yanayotengenezwa na kampuni ya Sung Shin Rolling Stock (SSRT) iliyoko nchini Korea Kusini.

“Kati ya mabehewa 81 ambayo Tanzania inatengeneza kutoka kwenu, tayari 36 yamekamilika na yameshapelekwa nchini Tanzania na 45 yaliyobaki yanategemewa kukamilika Machi, 2023. Mabehewa haya ni ya daraja la tatu na yatatoa huduma zote muhimu.”

Mheshimiwa Majaliwa ameyasema hayo Oktoba 24, 2022 mara baada ya kutembelea kampuni ya SSRST inayotengeneza mabehewa na injini za treni nchini Korea Kusini.

Kadhalika, Waziri Mkuu amemkaribisha nchini Rais wa Kampuni hiyo Gye Shul Park aje kuwekeza nchini Tanzania kutokana na fursa mbalimbali zilizopo ikiwemo mpango wa Serikali wa kuendelea kuiboresha sekta ya usafiri wa reli.

“Mnakiwanda kikubwa, teknolojia ya hali ya juu pamoja na utaalamu na watalaam kwenye eneo hili. Kwa sasa tuna mipango mikubwa ya kuendelea kuiboresha sekta hii ya usafiri wa reli, yapo maeneo tofauti kwenye mpango wa kuunganishwa na reli ya kisasa (SGR), nakukaribisha kuja kuwekeza kitu kama hiki Tanzania.”

Aidha, Mheshimiwa Majaliwa alitembelea kituo cha Seamul Undong ambacho ni taswira ya maendeleo ya Korea kupitia mpango wa kuviwezesha vijiji ambao unatekeleza mpango huo nchini Tanzania katika mkoa wa Morogoro (Pangawe) na Zanzibar.

Mheshimiwa Majaliwa alimshukuru Rais wa Kituo hicho na kumuomba kuendelea kutoa ushirikiano ili kukuza zaidi mpango huo na kufikia maeneo mengi zaidi.

“Mfumo huu kwasasa umekuwa wa kitaifa, ushirikishwaji wa Wananchi ni mkubwa, sasa tunataka tuikuze zaidi, haya maeneo ya Morogoro na Zanzibar tunataka yawe mifano, kwenye utekelezaji wa eneo hili”

Pia, Mheshimiwa Majaliwa alitembelea kituo cha Ubunifu cha CEIC kilichopo kikichopo katika mji wa Pangyo

PMO_0874-1536x1024.jpg
PMO_0899-1536x1024.jpg
PMO_0843-1536x1024.jpg
 
Zitaletwa behewa substandard kwa pesa ya juu, kisha ukihoji watakuwa na majibu yao kuwa watu waache kupinga kila kitu.
 
Kutokana na umuhimu wa ziara hii, nchi ikiwa imefunguka imebidi leo kiongozi mkuu wa ujumbe wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa atumie lugha kubwa ya kigeni yaani Kiingereza kufikisha ujumbe

Source : Global online TV

More info :

posted on 21st May 2021 12:04

Liebherr-Transportation Systems (China) has been selected by the Korean locomotive and railway car builder Sung Shin Rolling Stock Technology (SSRST) to deliver 260 heating-, ventilation- and air conditioning units for vehicles to be operated in Bangladesh and Tanzania.

It is the first order for Liebherr-Transportation Systems (China) from a non-Chinese customer, which marks a historic milestone for the company that had just opened in 2020.

The train manufacturer based in Haman-gun Gyeongsangnam-do (in the south of Republic of Korea), ordered HVAC systems for 71 passenger cars that will be operated in Bangladesh and for 59 passenger cars in Tanzania.

Two HVAC units are to be installed in each vehicle.

The HVAC systems will be designed, manufactured, tested and serviced by Liebherr Transportation Systems (China).

As part of the First Article Inspection phase, the units will undergo various test procedures, for example testing in the state-of-the-art climate test chamber.

Moreover, Liebherr will support Sung Shin RST with a dedicated test set up in Pinghu for the duct system of the cars. The test bench simulates the length of a vehicle, its height, and combines the foreseen duct system with the performance of the HVAC unit in order to support the customer to optimize the duct system if necessary Source : Liebherr HVAC For Coaches In Bangladesh And Tanzania
 
*Ni yale yanayotengenezwa nchini Korea Kusini kwa ajili ya SGR

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maendeleo na kasi ya ujenzi wa mabehewa mapya kwa ajili Reli ya Kisasa (SGR) ya Shirika la Reli Tanzania yanayotengenezwa na kampuni ya Sung Shin Rolling Stock (SSRT) iliyoko nchini Korea Kusini.

“Kati ya mabehewa 81 ambayo Tanzania inatengeneza kutoka kwenu, tayari 36 yamekamilika na yameshapelekwa nchini Tanzania na 45 yaliyobaki yanategemewa kukamilika Machi, 2023. Mabehewa haya ni ya daraja la tatu na yatatoa huduma zote muhimu.”

Mheshimiwa Majaliwa ameyasema hayo Oktoba 24, 2022 mara baada ya kutembelea kampuni ya SSRST inayotengeneza mabehewa na injini za treni nchini Korea Kusini.

Kadhalika, Waziri Mkuu amemkaribisha nchini Rais wa Kampuni hiyo Gye Shul Park aje kuwekeza nchini Tanzania kutokana na fursa mbalimbali zilizopo ikiwemo mpango wa Serikali wa kuendelea kuiboresha sekta ya usafiri wa reli.

“Mnakiwanda kikubwa, teknolojia ya hali ya juu pamoja na utaalamu na watalaam kwenye eneo hili. Kwa sasa tuna mipango mikubwa ya kuendelea kuiboresha sekta hii ya usafiri wa reli, yapo maeneo tofauti kwenye mpango wa kuunganishwa na reli ya kisasa (SGR), nakukaribisha kuja kuwekeza kitu kama hiki Tanzania.”

Aidha, Mheshimiwa Majaliwa alitembelea kituo cha Seamul Undong ambacho ni taswira ya maendeleo ya Korea kupitia mpango wa kuviwezesha vijiji ambao unatekeleza mpango huo nchini Tanzania katika mkoa wa Morogoro (Pangawe) na Zanzibar.

Mheshimiwa Majaliwa alimshukuru Rais wa Kituo hicho na kumuomba kuendelea kutoa ushirikiano ili kukuza zaidi mpango huo na kufikia maeneo mengi zaidi.

“Mfumo huu kwasasa umekuwa wa kitaifa, ushirikishwaji wa Wananchi ni mkubwa, sasa tunataka tuikuze zaidi, haya maeneo ya Morogoro na Zanzibar tunataka yawe mifano, kwenye utekelezaji wa eneo hili”

Pia, Mheshimiwa Majaliwa alitembelea kituo cha Ubunifu cha CEIC kilichopo kikichopo katika mji wa Pangyo

View attachment 2397781View attachment 2397782View attachment 2397783
Yapo sawa na ni Mapya 0KM👍🏽
 
Trillion karibu 20 kujenga reli mpya, halafu hawa wapigaji wanatuletea mabehewa na mavichwa kama ya miaka 100 iliyopita, washamba sana hawa au ni wezi wakubwa waliokubuhu, lakini unategemea nini maana huyu waziri mkuu ni muongo kuliko kiongozi yeyote kutokea katika historia Tanzania.
 
Trillion karibu 20 kujenga reli mpya, halafu hawa wapigaji wanatuletea mabehewa na mavichwa kama ya miaka 100 iliyopita, washamba sana hawa au ni wezi wakubwa waliokubuhu, lakini unategemea nini maana huyu waziri mkuu ni muongo kuliko kiongozi yeyote kutokea katika historia Tanzania

Aliyeleta Mabehewa haya ni Marehemu rejelea mikataba yenu huko nyuma.
 
Back
Top Bottom