CHADEMA Mmepata Pesa, Msikubali Kulipa Madeni ya Kiongozi

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
21,791
Reaction score
34,792
Chama kimepata pesa ni vyema kutumia kwenye mambo mengi ya kujengaa chama, lakini kila chama kikipata pesa Kuna kiongozi mkubwa kabisa wa hiki chama huibuka na kusema alikikopesha.

Hii pesa waliyopata sasa hivi usishangae yote mkaambiwa imetumika kulipa madeni ambayo kiongozi alikikopesha chama.

Tatizo kubwa kwa hawa wenzetu huwa wanaogopa mno kumhoji kiongozi huyu na kuishia kusema chinichini. Huu msemo wenu wa never and never again hapo ndio pa kuutumia. Msikubali hadaa zozote

Tuache tabia za unyumbu, tuhoji na kukataa mambo haya. Kuna vingi vya kufanya ikiwemo kukarabati au kujenga upya ofisi za chama.

20230317_232843.jpg
View attachment 2560707
 
View attachment 2560708View attachment 2560707
Unaweza kukuta huyu aliandika huu uzi ni graduate na huenda anafamilia inayomtegemea
 
Chama kimepata pesa ni vyema kutumia kwenye mambo mengi ya kujengaa chama, lakini kila chama kikipata pesa Kuna kiongozi mkubwa kabisa wa hiki chama huibuka na kusema alikikopesha.

Hii pesa waliyopata sasa hivi usishangae yote mkaambiwa imetumika kulipa madeni ambayo kiongozi alikikopesha chama.

Tatizo kubwa kwa hawa wenzetu huwa wanaogopa mno kumhoji kiongozi huyu na kuishia kusema chinichini. Huu msemo wenu wa never and never again hapo ndio pa kuutumia. Msikubali hadaa zozote

Tuache tabia za unyumbu, tuhoji na kukataa mambo haya. Kuna vingi vya kufanya ikiwemo kukarabati au kujenga upya ofisi za chama.

View attachment 2560708View attachment 2560707
Wa lumumba endelea kufugwa kwenye majengo ya serikali mliyoyageuza ofis za ccm lakin kufikia 2025 muwe mmetafta kaz za kufanya kama mnavyodanganywa ikiwemo kufanya kaz za bodaboda huku watoto wa kitila mkumbo na madelu wakipelekwa BOT na msipofanya hivyo mtapotea maana buku saba mnazolipwa kutokana na ruzuku ambayo hamjawahi kumuuliza mamayenu wala chongolo kuwa ni kias gan had sasa cjama chenu fake kimepokea haitakuwepo maana hata ubunge kama mtapata labda mkatambike.
 
Pumba tupu. Nimewapa ushauri kama mtakubali sultan aendelee kuwapiga basi sawa
 
Kwamba sukuma gang ndio anatoa ushauri! mmeshindwa kumpa ushauri mamayenu aliyechaguliwa kwa form ya uchaguz moja kuwa mwenyekiti wenu na kuzuia wenzake kugombea uje utowe ushauri vyama vingine huku chongolo,kinana na mama wakitafuna mabilion ya ruzuku wakati mapoyoyo yamebakia kumtaja mwamba.
 
Hapo Lumumba mna Utaratibu wa kutumia pesa ya RUZUKU kulipa madeni binafsi ya viongozi?[/QUOTE]
 
Chama kimepata pesa ni vyema kutumia kwenye mambo mengi ya kujengaa chama, lakini kila chama kikipata pesa Kuna kiongozi mkubwa kabisa wa hiki chama huibuka na kusema alikikopesha.

Hii pesa waliyopata sasa hivi usishangae yote mkaambiwa imetumika kulipa madeni ambayo kiongozi alikikopesha chama.

Tatizo kubwa kwa hawa wenzetu huwa wanaogopa mno kumhoji kiongozi huyu na kuishia kusema chinichini. Huu msemo wenu wa never and never again hapo ndio pa kuutumia. Msikubali hadaa zozote

Tuache tabia za unyumbu, tuhoji na kukataa mambo haya. Kuna vingi vya kufanya ikiwemo kukarabati au kujenga upya ofisi za chama.

View attachment 2560708View attachment 2560707
Tuondolee wazimu na umasikini wako hapa. Unafikiri Mbowe ametoka familia ya kimasikini kama yule marehemu wenu aliyeko motoni.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Chama kimepata pesa ni vyema kutumia kwenye mambo mengi ya kujengaa chama, lakini kila chama kikipata pesa Kuna kiongozi mkubwa kabisa wa hiki chama huibuka na kusema alikikopesha.

Hii pesa waliyopata sasa hivi usishangae yote mkaambiwa imetumika kulipa madeni ambayo kiongozi alikikopesha chama.

Tatizo kubwa kwa hawa wenzetu huwa wanaogopa mno kumhoji kiongozi huyu na kuishia kusema chinichini. Huu msemo wenu wa never and never again hapo ndio pa kuutumia. Msikubali hadaa zozote

Tuache tabia za unyumbu, tuhoji na kukataa mambo haya. Kuna vingi vya kufanya ikiwemo kukarabati au kujenga upya ofisi za chama.

View attachment 2560708View attachment 2560707
Unaumiaje mwamba kwa yasiyokuhusu? Semea ccm yako ya pande hizi unajisumbua na kujipa kazi isiyokuhusu ya kuwapangia cdm matumizi Kana kwamba ni familia yako!
 
WAPUMBAVU MNAZIDI KUONGEZEKA
 
Unaumiaje mwamba kwa yasiyokuhusu? Semea ccm yako ya pande hizi unajisumbua na kujipa kazi isiyokuhusu ya kuwapangia cdm matumizi Kana kwamba ni familia yako!
Chama kulipa madeni ya mwenyekiti ni matumizi hayo?
 
Chama kimepata pesa ni vyema kutumia kwenye mambo mengi ya kujengaa chama, lakini kila chama kikipata pesa Kuna kiongozi mkubwa kabisa wa hiki chama huibuka na kusema alikikopesha.

Hii pesa waliyopata sasa hivi usishangae yote mkaambiwa imetumika kulipa madeni ambayo kiongozi alikikopesha chama.

Tatizo kubwa kwa hawa wenzetu huwa wanaogopa mno kumhoji kiongozi huyu na kuishia kusema chinichini. Huu msemo wenu wa never and never again hapo ndio pa kuutumia. Msikubali hadaa zozote

Tuache tabia za unyumbu, tuhoji na kukataa mambo haya. Kuna vingi vya kufanya ikiwemo kukarabati au kujenga upya ofisi za chama.

View attachment 2560708View attachment 2560707
Unaonaje ukienda ofsini kwako ukawapangie matumizi kuliko kuja kubwabwaja mambo yasiyokuwa na uthibitisho hapa?
 
Back
Top Bottom