Viongozi wenye tuhuma za Kutesa, kuua, upendeleo na wizi wasienziwe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,600
218,003
Kwa Mujibu wa Maandiko Matakatifu na vitabu vyote vya Mungu imeandikwa hivi, “MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI”.

Nimeona nianze na nukuu hiyo ili kuweka kumbukumbu ya maonyo ya Mungu juu ya dhambi za Duniani nisionekane haya ninayoandika hapa nimeyatunga mwenyewe .

Hivyo basi mtu yeyote mtenda maovu kwa sababu zozote zile, tena bila kujali cheo chake, iwe kwa kiburi cha madaraka ama kiburi cha uchawi, hapaswi kuenziwa na yeyote yule katika nchi yoyote ile. Hii ni kwa sababu, kumuenzi mtu wa namna hii ni sawa na kumkufuru Mungu.

Kwahiyo ni vema Wananchi, wapambe, Mataga, Chawa na makundi mengine yaelewe kwamba, kufanya kinyume na Maagizo ya Mungu ni kujitafutia Mauti.
 
Bora uyu mwamba
20230103_160744.jpg
 
Mafisadi waachwe wanune na kuchapisha mandiko yao yote watakavyo! Ila ni shariti tuwakumbushe tu kuwa!

Uzalendo wa mtu hauondolewi kwa mistake moja tena ya kuwashughurikia wasaliti wa nchi na Mafisadi!

Ni upumbavu kuacha kumuenzi mtu mwema kwa watu wema mamilioni ndani ya nchi kisa wasiokuwa wema wamenuna kwa sababu tu walishughurikiwa!

JPM ataenziwa daima! Na ushahidi wa kuenziwa na chanzo Chake ni haya machapisho mengi ya wahujumu uchumi, mafisadi na wafoji vyeti kuwa meeengi na hayana la maana kuzuia aenziwe!
 
Kwa Mujibu wa Maandiko Matakatifu na vitabu vyote vya Mungu imeandikwa hivi, “MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI”.

Nimeona nianze na nukuu hiyo ili kuweka kumbukumbu ya maonyo ya Mungu juu ya dhambi za Duniani nisionekane haya ninayoandika hapa nimeyatunga mwenyewe .

Hivyo basi mtu yeyote mtenda maovu kwa sababu zozote zile, tena bila kujali cheo chake, iwe kwa kiburi cha madaraka ama kiburi cha uchawi, hapaswi kuenziwa na yeyote yule katika nchi yoyote ile. Hii ni kwa sababu, kumuenzi mtu wa namna hii ni sawa na kumkufuru Mungu.

Kwahiyo ni vema Wananchi, wapambe, Mataga, Chawa na makundi mengine yaelewe kwamba, kufanya kinyume na Maagizo ya Mungu ni kujitafutia Mauti.
Na "mshahara WA unafiki ni Moto" na wewe ndo mnafiki SANA
 
Kiukweli kumuenzi kiongozi aliyetesa , kupora, kuua, kufunga wanao mkosoa na kubàmbikizia watu kesi hastahili kuenziwa hata kwa dakika moja...
Ungekuwa na wewe unafaidika na hao wezi walioporwa mali walizoiba na kuwafunga wanaopinga maendelo, ningekuunga mkono... Lakini hao wezi hata sasa hivi huwaoni huku, wanakula maisha yao wewe unahangaika na bando la 2000 kuja kutulalamikia
 
Yaani wewe ndo pimbi kweli, mzalendo gn anaficha pesa nje ya nchi??? Mzalendo gn ananunua mandege mabovu kwa cash money??? Mzalendo gn anapora rambi rambi za wafiwa????
 
Wewe unayo hata baskeli uliyonunua kwa mkopo? Au hela unazo ulizoficha hata chumbani kwako. Huna hata mia unakuja kutoa ushauri wako hapa.
 
Back
Top Bottom