CCM Wezesheni upatikanaji wa KATIBA mpya kumbukeni siku yaja nanyi mtakuwa chama cha upinzani

Thailand

JF-Expert Member
Nov 15, 2019
262
778
Tusiseme mengi ila kumbuka hakuna dora zilizokuwa na nguvu kama Ottoman empire, Roman empire, Greek, Egypt, Babeli chini ya vyama vyenye nguvu na ushawishi lakini viliporomoka mpaka mavumbini. CCM kuamini kwamba mtatawala milele huko ni kujidaganya mchana kweupe.

Chini ya CCM tunaona namna nchi inavyotafunwa na kundi la watu wachache huku wakiamini maisha yao yatakuwa mapesi namna hiyo kwao na vizazi vyao daima na milele. Lakini mnasahau kwamba anguko lenu li karibu sana.

Watanzania now tunateseka na huduma mbovu mahospitalini, mashuleni, maji, umeme na kupanda kwa vitu muhimu kama chakula lakini hakuna active response zaidi ya pesa zetu wavujajasho kulambishana asali, kusafiri kwa rundo la msafara, kulipana na semina za juu kwa juu.

Sasa haya mambo mnayofanya CCM Mungu hayapendi, najua wote mnamjua Mungu ni mkuu wa kujibu kwa wakati. Mkibisha mnajua ujanja, majivuno na dharau zenu kwa watanzania mtaishia MAVUMBINI kwa aibu sana, huku mliokuwa mkiwapendelea na kuwatwisha MAVYEO NA HESHIMA wakiwatukana na kukunanga mchana kweupe.

CCM muwe fair, leteni katiba mpya ambayo haitapendelea chama chochote wala mtu yeyote. Sisi sote ni watanzania haina haja kutengeneza makundi hayo mnayotengeneza.

Ila kumbukeni msipobadilika mnanafasi kubwa sana ya kudondoka na kuachia madaraka muda si mrefu hivyo mkawa chama cha Upinzani. Mmejipanga vipi kupitia shuruba za upinzani kama hamjaweza kuweka katiba iliyo mathubuti kipindi hiki mpo madarakani? Chama kitakachoingia madarakani kikakuta katiba hii mbovu na wao wakaanza kutumia ubovu huu wa katiba hii iliyopo, nadhani itabidi mpoteze mara mbili (MADARAKA NA MALI ZENU ZA CHAMA)

Kwa hiyo CCM ona hatari iliyopo mbele yako pitisha KATIBA mpya, beba hii ajenda na utapunguza credit kwa vyama vya upinzani.
 
Wanasubiri kuhamia CHADEMA baadaye.
 
Mm nina mashaka Sana na aina hii ya mbinu ya kupata katiba mpya. Kweli tunategemea katiba mpya iliyo bora itapatikqnq kwa mbinu hii??

Yaani ccm wanoe kisu cha kuwachinja wao?
 
Wasipo fanya hivyo kwa katiba hii mbovu kuna chama cha upinzani kitaingia madarakani halafu ndo wataipata habar kamili
 
Back
Top Bottom