Salama wakuuu. ..
Ni ukweli usione na shaka kwamba pamoja na mapungufu yake hayati Magufuli alikua na uthubutu mkubwa WA kuanzisha miradi ya kikmkakati
Miradi hii ambayo ni pamoja na reli ya sgr, bwawa la kufua umeme ya Nyerere , bomba la mafuta kuhamia Dodoma ,ununuzi WA ndege nk inatarajia kubadisha sura ya nchi kiuchumi kwa kiasi kikubwa
Nampongeza sana Samia kwa kuisimamia na kuendeleza miradi hii kwa ufaninisi hasa kwa usimiaji wake mzuri WA uchumi ambao unaqurantee ukamilikaji WA miradi hii
Ni ukweli nchi kubwa zilitake off kiuchumi baada ya kuitekeleza miradi mikubwa ya kikmkakati mf marekana walipambana kutengeneza reli kuunganisha East cost na west cost, urusi pia ilijenga trans Siberian railroad,china ikajenga 3gorge hydro station
Miradi hii ilifanywa samba mba na miradi midogomidogo ya kuboresha sector umma kama elimu na afya.
Kwa mtazamo wangu napendekeza serikali kupanga na kuitekeleza miradi ya kikmkakati ifuatayo baada ya hii inayoendelea kukamilika .
1.Mradi WA Bandari kubwa bagamoyo.
2 mradi wa Lng
3 .mradi mkubwa WA kusambaza gesi asili majumbani na viwandani na kwa ajili ya matumizi ya magari.
4.mradi WA kikmkakati WA ujenzi WA nyumba za makazi na kuboresha mazingira ya mijini na vijijimi.
5.mradi WA umeme WA nguvu za nyuklia.
Miradi hii itazidi kufanya uchumi wetu kuwa imara na usio tetereka kirahisi na kutunza mazingira hasa kwa kutumia gesi asilia
Ni miradi gani unaona serikali ikitekeleza itasaidi nchi yetu kupiga hatua zaidi kiuchumi