Tume ya uchaguzi kufumuliwa

Tume ya uchaguzi na sheria za uchaguzi itafumuliwa kwenda sawana mazingira ya Sasa anesema waziri washeria na katiba
Unaweza kukuta wanaondoa fimbo na kuweka rungu; usijipe matumaini mpaka uone matokeo yake.
 
Tume ya uchaguzi na sheria za uchaguzi itafumuliwa kwenda sawana mazingira ya Sasa anesema waziri washeria na katiba

Huwa siamini sana kwenye makubaliano ya aina hii bila machafuko. Zanzibar kulikuwa na maridhiano, lakini kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2015 kila mtu aliona.
 
Back
Top Bottom