Taswira ya uwekezaji katika nchi yetu inaonesha wageni wanawekeza zaidi kuliko wazawa

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,227
5,950
Mikoa kumi iliyovutia wawekezaji kwa kuangalia thamani (Tsh) ya miradi iliyosajiliwa na TIC kwa mwezi Februari 2023;

1. Dar - Bilioni 422
2. Pwani - Bilioni 307
3. Morogoro - Bilioni 19
4. Ruvuma - Bilioni 17
5. Arusha - Bilioni 9
6. Mwanza - Bilioni 7
7. Mbeya - Bilioni 6
8. Dodoma - Bilioni 5
9. Kigoma - Bilioni 1
10. Shinyanga - Milioni 914

Image

Chanzo: The Chanzo
 
Hizo ni namba tu za miradi ya mchongo ya wazee wa kutafuta residential permits ya mwaka na kununua Ardhi kwa jina la kampuni.

Ni kujumlisha namba tu, hata miradi yenyewe hao TIC hawajui Kama ipo au haipo au iko hai au imekufa
 
Dodoma kumewekezwa nini, au majengo ya serikali?
 
Nchi nzima inategemea dar badala mikakati ifanyike mikoa mingine iibuke... wawekezaji washawishiwe kuwekeza mikoa tofauti tofauti hata kwakupewa ardhi kwabei finyuuu na kupunguziwa kodi.

Mikoa inakosa mzunguko wa hela hela zoote zipo dar sasa sinikama mikoa imewekewa vikwazo vya kiuchumi bila kujijua?

Namshauri bashe saivi tujiwekee kilimo cha kimkakatii kimikoa kupaisha uchumi mikoani na wataalamu wagawanywe kimkakati mfano;

Alizeti - Singida, Ndizi - Klm & Bukoba, Chikichi Kigoma, mahindi - Rukwa, zabibu - Dom, mpunga - Moro & Kyela, nk
 
Hizo ni namba tu za miradi ya mchongo ya wazee wa kutafuta residential permits ya mwaka na kununua Ardhi kwa jina la kampuni.

Ni kujumlisha namba tu, hata miradi yenyewe hao TIC hawajui Kama ipo au haipo au iko hai au imekufa
Walau wametoa takwimu maana hata kama wametunga takwimu kutunga nayo kazi na imekupa na wewe kazi ya kupayuka uliyopayuka
 
Back
Top Bottom