Maana huyu Rais wa sasa miaka yake mitano ya uongozi inatimia mwezi wa tatu mwaka 2026? Ina maana uchaguzi wetu wa urais unaofuata utafanyika mwaka huo?
Jana nilifuatilia mjadala ulioanzishwa na JF kuhusu maoni ya sisi Wananchi wa kawaida kwenda kwa viongozi wetu hasa Wabunge, kwanza niwapaongeze sana kwa hicho walichokifanya na ninawashauri...
Spika Mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amewataka Watanzania kuacha tabia kutothamini mafanikio au juhudi za watu mbalimbali wanazozionesha katika taifa hasa katika sekta ya biashara, akizungumza...
TPSC NA TAASISI YA UONGOZI ZATAKIWA KUANDAA PROGRAMU ZA MAFUNZO ZITAKAZOBORESHA UTENDAJI KAZI WA WATUMISHI WA UMMA NA VIONGOZI.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na...
Kwa maoni yangu, ujio wa Makamu wa Rais wa Marekani Tanzania kwa zaidi ya 75% inaweza kuwa ni JANGA kwa Tanzania.
(1) Kiongozi wa Marekani kufanya ziara ya siku 3 Tanzania, faida yake inaweza...
Watanzania tumeishazoea mauongo yenu. mnatuona sisi mafala sana. Mlifungua mahakama ya mafisadi kwa mbwewe mpaka leo hakuna lolote lililofanyika juu ya mafisadi ambao mnashinda nao na kucheka nao...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI
HABARI YA UPOTOSHWAJI ILIYOANDIKWA NA GAZETI LA NIPASHE KUNIHUSISHA NA KASHFA YA MABEHEWA FEKI YA TRL...
Wana JF,
Mkimbiaji maharufu katika mbio kali za kukimbilia Ikulu kuachiana kijiti , Mh. J. Magufuri, amedai kwamba akiingia madarakani ataifumua serikali ya mtangulizi wake JK, ambayo inaonekana...
Amekuwa na network yake - kila weekend yupo Iriiiiiiiiingaaaaa! Wanayopanga ni ya mwaka 2025 ingawa hawataki mtu yeyote wasiyemjua au kumwamini afike wanapokuwa wamekaa. Tetesi ni kujiandaa kuja...
Jana na Leo Dr Mwakyembe ana kazi ya kujinasua ufisadi wa mabehewa feki 274. baada ya kushambuliwa na wabunge vijana Halima Mdee&Jesca Kishoa
Hoja ambazo Mwakyembe anapaswa kujibu ni;
1...
Mwakyembe alitetea bungeni kuwa hayana dosari sasa inakuwaje tena wamekamatwa.
Nchii Magufuli ana kazi sana!! Kila kona hamna msafi.
Mawaziri wake bado wanaandamwa na kashfa, juzi Muhongo...
Kupitia Clouds FM Harrison Mwakyembe amekanusha vikali tuhuma zilizokuwa zinaelekezwa kwake kwamba ameapa kudili na Edward Lowassa katika sakata la Richmond.
Amesema amekwisha kamilisha hatua za...
Mhe Mwakyembe amkaanga Lowassa kuhusu kadhia ya Richmond na kusema kuwa asikwepe maana tume ya Bunge ilimkuta na hatia na ikabidi ajiuzulu Uwaziri Mkuu.
Ameeleza hayo kwenye mkutano wa kampeni...
Mwakyembe kashika wizara ya sheria ambako kuna wanasheria wa serikali na waendesha mashtaka nguli waliobobea katika fani za sheria na wenye weledi mkubwa.
Mwakyembe wafurahishe na uwatendee haki...
Wadau juzi wakati Bw.Mwakyembe anaapishwa aliwaambia waandishi wa habari kuwa ripoti ya tume ya kuchunguza sakata la kuvamia clouds FM lililofanywa Na Mkuu wa Mkoa wa DSM Bw.Makonda haijakamilika...
Mwakyembe Uliyejaa Mwbembwe, Nataka, sio Nikuombe, Maana uliahidi Mwenyewe na ahadi ni deni. Jiuzulu Ukawe mwendesha mashitaka dhidi ya Lowassa Mahakamani. Maana Lowassa alishasema yuko Tayari...
Ikiwa siku chache baada ya dr Mwakyembe kudai Lowasa ni muhusika mkuu wa Richmond na hachomoki waziri mkuu huyo wa zamani amjibu.
Lowasa amedai kama ana udhibitisho inatakiwa aende mahakamani sio...
Inafamika kuwa Serikali inakusanya Kodi kutoka kwa wananchi, na inakopa kwa niaba ya wananchi wake, inafahamika pia kuwa serikali inapanga na kutekeleza mipango kwa kutumia fedha za wananchi. Je...
Ni jambo ambalo Waziri alilitolea maelezo marefu mbele ya vyombo vya habari. Naona ni kimya lna mambo ya ushoga yanatajwa sana! Waziri tueleze nini matokeo ya tume yako. Tueleze hatua ulizochukua...
Jana tarehe 20 March 2023, Rais alifungua mradi wa mashamba ya pamoja, Mradi wa Kilimo wa Vijana. Sijui kama Waziri ana lengo zuri au ni kulifanya jina lake lisikike kila wakati mbele ya Rais kwa...