Umeitoa wapi?Mwakyembe alitetea bungeni kuwa hayana dosari sasa inakuwaje tena wamekamatwa. Nchii magufuli anakazi sana!! Kila kona hamna msafi...mawaziri wake bado wanaandamwa na kashfa juzi muhongo kachemka tena. Me nabaki nashangaa tu
Magu mwenyewe jipu..Mv Dar.Kuna majipu hayatumbuki ww
Mitaa ya kariakoo inahitaji idekiwe. At least hospitali ya palestina imeshapata wa kuifanyia usafi.Kukamatwa hakutusaidii kitu
Wafungwe kabisa kwa mfano
Nani amekwambia cabinet ya Magufuli imeundwa na Malaika??Mwakyembe alitetea bungeni kuwa hayana dosari sasa inakuwaje tena wamekamatwa.
Nchii Magufuli ana kazi sana!! Kila kona hamna msafi.
Mawaziri wake bado wanaandamwa na kashfa, juzi Muhongo kachemka tena.
Me nabaki nashangaa tu
mwakyembe kapewa uwaziri kwa kuonesha ujasiri wa kumtukana Lowasa hadharani, lakini yeye mwenyewe ni fisadi namba moja, mlafi wa rushwa kweli kweli, haya na hiyo mahakama ya mafisadi ikifunguliwa mwakyembe ampeleke lowasa mahakamani maana aliapa ushahidi upo. Watakutana kizimbani kila mtu ajibu yake, ananyoosha kidole kwa mwenzake wakati na yeye ana yake?